@zittokabwe Hapo alifanya vizuri. Lakini katiba inatakiwa ilindwe wakati wote, Tumeshuhudia uvunjwaji wa katiba mara kadhaa uvurugaji mkubwa wa uchaguzi 2020 na jeshi halikusimama kutetea katiba.
Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekubaliana na umuhimu wa kupatikana katiba mpya kwa kuzingatia mazingira ya sasa hivyo kimeishauri Serikali kuona namna bora ya kufufua, kukwamua na kukamilisha mchakato wake kwa maslahi mapana ya Taifa na Watanzania wote.

@MarkMwandosya Kwa bahati mbaya kwenye miaka yetu hii elimu inawapa watu hofu, upofu na uziwi. Kila wakisoma zaidi wanazidi kuwa hawaoni, hawasikii na wala hawawezi kusema. Na wakisema wanasema visivyo.