@FarajiHamz8681@lifeofmshaba Chawa kakurupuka๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃtukisema ilimradi mvute posho mnatuona wanoko Ona sasa ulivyomjinga hata samia mwenyewe anakukataa kwa akili hizi
Dunia haitanyamaza, kama mnakamata watu na kuwapa kesi za uongo mjue Dunia ni kijiji na haitakaa kimya.
Mnaweza kutumia mabavu hapa ndani na kucontrol vyombo vya habari lakini wengine watasema na watu watajua uovu wenu.
Asante @SteveLetoo
Why is it okay for East African leaders to offer each other support and solidarity in abducting Jumuiya citizens but it is not okay for Jumuiya citizens to offer each other solidarity in decrying the oppression and repression by their leaders?
Tafakari!
Kesho tarehe 20 Mei 2025 Mwanasheria Mkuu wa Chama Dr. Rugemeleza Nshala atazungumza na watanzania kupitia mkutano na waandishi wa habari, utakafanyika Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam kuanzia saa nane mchana. Waandishi wote wa habari mnakaribishwa