Habari zenu, wewe kijana sio wa kuchukuliwa poa nipo kwa ajili yako kuhakikisha unakuwa na uchumi, ungana na mimi katika ukurasa wangu ili nikupe fursa mbalimbali na michongo ya kukufanya upate na ukuze kipato nipo Wilaya Takatifu ya Butiama mkoani Mara. Follow me I Follow back
Prof. Adolf Mkenda Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia awasili katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma akiwa ameambatana na binti yake Dkt. Pendo Mkenda.
Leo Mei 12, 2025 Prof. Mkenda anawasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.
Mbunge wa Jimbo la Butiama na Naibu Waziri Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini na Viongozi mbalimbali wa Chama, Serikali na dini wameshiriki mapokezi ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ambapo anatarajia kufanya Ziara ya Siku Tano mkoani Mara
@Aduiwayanga Mlaumu mama yako alikuzaa na fukara asiye na hata elimu, wivu Haukufanyi Historia Ikubadilikie, utaumia mwishoni ufe na sonona, manake tiyari afya ya akili ishazorota.
TANZANIA YAZIDI KUNG’ARA FEASSA 2024
TIMU za Tanzania zinazoshiriki mashindano ya shule za msingi na sekondari kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki (FEASSA 2024) zimeendelea kufanya vizuri katika michuano hiyo inayoendelea nchini Uganda.
Katika mchezo wa soka la wasichana, Tanzania imetawazwa kuwa bingwa baada ya kujikusanyia pointi 11, baada ya kushinda mechi tano na kutoka sare michezo miwili wakati kwa soka la wavulana Tanzania imeshika nafasi ya pili baada ya kupata pointi 6 baada ya kushinda mechi mbili na kutoka sare mechi tano
Kwa upande wa mchezo wa netiboli, Tanzania imeshika nafasi ya pili baada ya kuichapa wenyeji wa michuano hiyo Uganda kwa magoli 44-31 katika mchezo ambao ulikuwa unamua nani ashike nafasi hiyo baada ya timu hizo kufungana kwa pointi.
Mchezo huo uliocheza kwenye viwanja vya shule ya msingi Bukedea ulikuwa wa vuta ni kuvute, lakini umahiri wa wachezaji wa Tanzania uliwawezesha kwenda mapumziko wakiwa mbele kwa magoli 35-21.
Mbali na matokeo hayo, tayari Tanzania imetawazwa kwa mara nne mfululizo kuwa bingwa wa michuano hiyo kwa upande wa mchezo wa mpira wa goli ambao uchezwa na wanafunzi wenye huoni hafifu.
@AssengaPN @ExMayorUbungo Mh hiyo dining gani inayosema ushinde ubaya kwa ubaya? Hata mume wake kachepuka au kahaba kachukua mime wake alipaswa kuwahurumia na kuwaombea kama mkristo au kumshtaki.
Lakini alichofanya ni dhambi na Kosa kisheria hivyo acha apate Mauti na kifungo.
Shauri la Maombi ya Madai namba 202407111000016500, BONIFACE ANYISILE KAJUNJUMELE MWABUKUSI dhidi ya TANGANYIKA LAW SOCIETY mbele ya Mhe.Salma Maghimbi limepangwa kwa Kutaja tarehe 2024-07-17 Mahakama Kuu Dar es Salaam.
@TuliaAckson@Tulia_trust Nakosa maneno kwako mama kila nikiziona kazi zako. Huyu Mungu aliyekuumba na moyo huu wa upendo juu ya kuwatazama wa nyonge, azidi kukubariki wewe na uzao wako. Amen.
Mungu ni Mwema, zoezi la kukabidhi Ng’ombe la jana trh 17 Juni na juzi trh 16 Juni kwa Taasisi husika hapa Bukoba Mjini kwa ajili ya Eid Al-Adha limekamilika vizuri 🙏
Nawashukuru wadau kwa kuniunga mkono na timu yangu kuhakikisha Ng’ombe zote zimefikishwa kwa Taasisi husika 🙏
Nakupongeza sana Kaka yangu; Comrade Kenani Kihongosi kwa Imani kubwa ya Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kukuteua kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu-
Hongera Mkuu wa Mkoa Mteule Kenani Kihongosi.
Nakumbuka Comrade Kenani Kihongosi ukiwa Katibu Mkuu Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM Taifa) nami nikihudumu kama Katibu wako wa Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa.
Tulifanya kazi kwa pamoja ndani ya Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi kwa ushirikiano mkubwa sana; na nilijifunza vitu vingi kwako haswa Ubunifu, Uthubutu, Uratibu mzuri wa matukio na zaidi Stratejia ya Uongozi.
Hakika wewe ni kijana ambaye ni mfano na kioo kwa vijana wenzako, ni kielelezo thabiti ya namna Kijana anavyopaswa kuwajibika, kujituma na kufanya kazi kwa weledi, ubunifu na moyo.
Umeendelea kuwa kioo cha vijana kwa kujituma kwako.
Nakupongeza kwa kazi nzuri uliyofanya Wilayani Momba na nazidi kukuombea Kheri katika kazi.
Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amekuteua kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu- nakutakia la Kheri uzidi kufanya kazi kwa bidii, na kuzidi kuonesha kuwa vijana wanaweza na ni Jeshi imara la Rais wetu mpendwa.
Mwenyezi Mungu akutangulie katika hatua zako zote.
Victoria Mwanziva
DC Ludewa