Warning: disturbing images
@OUtalii @TFSAgency Tukio hilo limetokea jana mchana katika Kijiji cha Kombe - Songambelela, Kata ya Usinge Wilaya ya Kaliua ya kuchoma Moto nyumba na vyakula kama mahindi na mpunga. Kibaya zaidi mtoto ndogo alikuwa amelala ndani aliungua hadi
@w_nashon Mimi nina roho mbaya? Meko ana roho nini sasa? Halafu nikamatwe kwa sababu gani yaani? Meko alitamani aonenakamatwa na kuuwawa kama alivyomuuwa Lwajabe,Azory na Ben lakini kafa hajabahatika hata kunywa chai na mimi.! ๐คฃ๐คฃ๐คฃ