@Sisimizi3 Kama mwenyekiti anataka mchango Ili amalizie nyumba aweke namba chapu kwa haraka mm kama nikichangia chadema na viongozi wa chadema nitakuwa nasikini acha niwe
@british77boe Mmoja alikuwa anajaribu kumeza mirinda kwa mdomo wa chini huyo mengne akitaka kufungua mpango bahari kwaajilia ya kupitisha meli za mafuta