@humbleQueen02 Ukija, nakuhemelea unga debe,sukar nusu,mchele kilo 10 ,dagaa kisado,nyanya za buku 2,mafuta ya kupikia lita1.5 zikiisha naanza vitimbwi,,unang'aatuka mwenyewe
@safarimlevi Kwel,,nichange mm,kwa kujua hela lazima inaenda kutumika,,alafu chawa aje kupanua mdomo eti hela zimeliwa,,kwani kaz ya hela si kutumika au!!!