Una harufu mbaya kinywani?
1. Lamba limao
2. Kunywa maji ya chumvi
3. Weka slice ya tango juu ya ulimi
4. Kula mbogamboga kama Kabichi
5. Acha kula sukari & ngano
6. Acha kutumia fluoride
7. Tibu hiyo acid reflux
We are moving.
AGIZO LA SHEIKH MKUU NA MUFTI WA TANZANIA
"Assalaam alaikum.
Nimewaagiza Mashekhe wote Nchini kuanzia Mikoa, Kata na Wilaya pamoja na Maimamu wa Misikiti yote Nchini Kuleta Dua ya Qunuti baada ya kila Sala.
Dua hii Maalum kwa ajili ya kuendelea kumlilia na kumuomba M/Mungu Mtukufu aendelee kusimamia Amani na Utulivu wa Nchi kwetu."
Muft na Sheikh mkuu watanzania
Sheikh Abubakari Zuber bun Ally mbwana
Janja kanisikitisha sana ameshindwa kuchinja Kuku anaona huruma,,, Jembe langu siwezi kulilea hivi
Anavyopenda Paja fupi sasa leo atakula SHINGO japo Mama yake ataleta kwere lakini ndio utawala wa Taliban maamuzi ni ya Kiumeni ๐
Jamani watu wanaoomba Radhi tunazojua ni halisi sameheni wakuu, tykitaka kutoka hapa tunamhitaji kila mmoja wetu, ila wale wanafiki na tunawajua utaratibu ni ule ule ๐๐ผ
Diwani pekee wa @ACTwazalendo aliyetangazwa katika Manispaa ya Kigoma Ujiji (Jimbo la Kigoma Mjini) katika Kata ya Kasimbu Ndugu, Juma Mzee Shabani pamoja na wenzake 10 wameshtakiwa kwa ARMED ROBBERY na ARSON. Wote wamenyimwa dhamana na kupelekwa gerezani.