The best hospital in Central America.
With every medical specialty, the most advanced technology in the world, and top-quality care.
Public. Dignified. Free. For everyone.
Tanzania Is Laying the Track That Will Connect Five Countries, Three Indian Ocean Ports, and the World's Largest Critical Mineral Reserves to One Rail Network. This Is What East Africa's Economic Future Looks Like.
Tanzania Railways Corporation (@tzrailways) has already carried over 2 million passengers and generated TZS 60.25 billion in revenue. The Kwala Dry Port is open, serving Rwanda, Burundi, Uganda, DRC, and Malawi from a single inland hub west of Dar es Salaam, anchored by a 1,000-hectare industrial park projected to create 200,000 jobs. This is not a projection. It is already happening.
In April 2026, Standard Chartered finalised a USD 2.33 billion financing package for the western construction phases. In August 2025, the Tanzania-Burundi extension broke ground under a USD 2.15 billion contract. That extension is the first physical section of the corridor whose completion will connect Dar es Salaam directly to Rwanda and Uganda through Burundi.
Tanzania, Burundi, and the DRC have jointly approved the feasibility study for the extension into the DRC. When that track is laid, Dar es Salaam will be the closest rail gateway to the world's largest cobalt, coltan, and copper reserves. The minerals that power every electric vehicle battery on the planet will move on Tanzanian rails.
Rwanda and Uganda are both within the network's planned reach. The Central Corridor rail system is designed to serve Kigali and Kampala alongside Bujumbura and Kinshasa, making Tanzania the primary rail gateway for four of East Africa's most strategically consequential landlocked economies simultaneously. No other country in the region is building toward that position.
A southern corridor from Mtwara to Mbamba Bay, approximately 1,000 kilometres, has completed feasibility and is seeking PPP investors at an estimated USD 5.6 billion. It will serve Malawi, Zambia, and Tanzania's mineral-rich southern highlands, opening a second Indian Ocean gateway for Southern Africa.
A northern corridor from Tanga through Arusha to Musoma, 1,108 kilometres at an estimated USD 3.3 billion, will connect Uganda to the Indian Ocean via Lake Victoria through a second Tanzanian rail gateway, giving Kampala the strategic logistics autonomy that a single transit route through Kenya has never provided.
At full capacity, TRC will move 17 million tonnes of cargo annually, reducing regional freight costs by up to 40%.
Three Indian Ocean ports. Five landlocked economies. Nearly 5,000 kilometres of electrified standard gauge rail. One country building all of it simultaneously.
Tanzania Railways Corporation is not building a railway. It is building the economic infrastructure of a region. And the region will move on its terms.
https://t.co/wK4IeiTPuW
Je, una picha au video ya mtu akiuawa au aliyefariki wakati wa uchaguzi Tanzania uliofanyika tarehe 29 Oktoba?
Weka picha/video hiyo hapa na jibu maswali yatakayofuata. Wasaidie Human Rights Watch kurekodi kilichotokea. https://t.co/bWZtUtJex2
Do you have a video or photo of someone being killed or who died during the October 29 Tanzanian election?
Upload it to this secure platform and answer the questions, and help Human Rights Watch document what happened: https://t.co/bWZtUtJex2
SpaceX is actively hiring world-class engineers/physicists for SpaceXAI, even if you have zero prior experience in AI. Smart humans figure it out fast.
Please send an email with ~3 bullet points demonstrating evidence of exceptional ability to [email protected].
Anaandika MALISA GJ.
Mkuu wa zamani wa Jeshi la Polisi nchini Uganda, Jenerali Kale Kayihura (70), amesema kwamba watu wengi wamemkimbia baada ya kuondoka madarakani, licha ya kwamba awali walikuwa wakinufaika na msaada wake alipokuwa IGP.
Akizungumza katika sherehe za kuapishwa kwa Mbunge wa Rwampara Mashariki, Dr.Charles Ngabirano jijini Kampala mwishoni mwa wiki iliyopita, Kayihura alisema kwamba kuondoka katika uongozi mara nyingi hubadilisha jinsi watu wanavyohusiana na wewe.
"Unajua, ukiondoka madarakani watu wengi wanajitenga na wewe. Hakuna mtu anayetaka kukukaribia. Kuna wakati unawapigia simu, hata wale uliowahi kuwasaidia, lakini hawapokei na hawakurudii. Wote wanakukimbia kana kwamba una ugonjwa wa ukoma,” alisema Kayihura.
Jenerali Kayihura alistaafu mwaka 2018 baada ya kuongoza Jeshi la Polisi nchini Uganda kwa miaka 13 kuanzia mwaka 2005. Katika utawala wake alituhumiwa kuelekeza polisi kutumia nguvu kupita kiasi, na askari wake walihusishwa na ukandamizaji wa demokrasia, mauaji ya waandamanaji, na mateso kwa viongozi wa upinzani akiwemo Dr.Kiiza Besigye na Robert Kyagulanyi (Bobi Wine).
Alituhumiwa pia kuwasujudia wanasiasa, na alionekana kama “enforcer” wa Rais Museveni, akitumia polisi kuimarisha utawala wake. Pia alihusishwa na mauaji ya ASP Muhammad Kirumira, aliyekuwa askari polisi na mtetezi mkubwa wa haki za binadamu.
Hata hivyo, pamoja na kulitumia jeshi la polisi kama chombo cha kumtetea Rais Museveni na kukandamiza upinzani, alipostaafu alikamatwa na kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi na umiliki wa silaha kinyume cha sheria. Alinyimwa dhamana na alikaa mahabusu hadi mwaka 2023, wakati Rais Museveni alipotangaza msamaha na kufuta kesi yake.
Sasa IGP Kayihura anasema tangu alipotoka madarakani watu wamejiweka mbali naye na hakuna anayetaka kumkaribia. Hata wale aliowahi kuwasaidia hawapokei simu zake. Anasema hali anayoishi nayo kwa sasa ni kama ya mgonjwa wa ukoma, kwani hakuna anayetaka kushirikiana naye.
Nini maoni yako??
Mwaka 2024, Ethiopia ilikua nchi ya kwanza barani Afrika kupiga marufuku uagizaji wa magari yanayotumia petroli na dizeli, hatua iliyowashangaza wengi. Lengo kuu lilikuwa kupunguza utegemezi wa nishati kutoka nje ya nchi.
Mwaka 2025, Ethiopia ilinunua magari ya umeme 100,000, ambayo husafirisha abiria wapatao 90,000 kila siku katika jiji la Addis Ababa. Idadi hiyo inatarajiwa kuongezeka hadi magari 140,000 ya umeme mwaka 2026.
Kwa sasa, Ethiopia imeanza pia kuassemble (kuunganisha) magari yake ya umeme ndani ya nchi, na ikiwa na zaidi ya vituo 400 vya kuchaji, inalenga kufikia magari 500,000 ya umeme ifikapo mwaka 2030, kwa msaada wa umeme unaozalishwa na Grand Ethiopian Renaissance Dam.
Take the first step to grow your wealth in dollars with the SanlamAllianz USD Fixed Income Fund.
- Start investing with just USD 1,000
- Top up anytime from USD 500
- Earn interest daily, compounded monthly
- Access your money anytime without loss of interest
Gospel Playlist Updates:
1. Safari- Paul Clement
2. Umenitoa mbali- Zoravo ft Joel Lwaga
3. Mungu wa yasiowezekana- Zoravo & Takie Ndou
4. Yesu Unipendaye- NGC ft Justin Asifiwe
5. Ngiyabonga- NGC
6. Hatua- Dr. Sarah K
7. Unanitendeaga mema- Agape ft NGC
8. Gusa (live)- CVC
Tanzania inanunua kutoka China bidhaa na huduma zenye gharama ya dola 4,159,000,000, sawa na (trillion 10) kwa mwaka, wakati yenyewe inauza China dola 428,000,000$, sawa na trillion moja tu.
Hii trade deficit inafaa kupewa tuzo ya kimataifa!
Mind you, China ni creditor wetu.
Mahusiano yanayokua polepole,
Mahusiano yasiyoanza na ‘mlipuko’ wa mapenzi,
Mahusiano yasiyoharakisha ngono,
Huwa na uwezekano mkubwa wa kudumu.
Wapenzi wanaojipa muda kufahamiana,
Wapenzi wasioharakisha ‘kuaminiana’,
Wana uwezekano mkubwa wa kuoana, kuridhika na kudumu zaidi katika ndoa.
Haraka haraka, tafiti zinasema, huleta kuteleza.
Haraka haraka hunyima umakini,
Haraka haraka kuleta kizaa zaa.
Hutaki kujifunza tabia mpya. Hutaki kupitia upya mitazamo yako. Hutaki kusikiliza usichokiamini. Hutaki kuelewa kisichoendana na ulichoelewa. Hutaki kuwajibikia makosa yako. Hutaki kukiri mapungufu yako.
Unasingizia hupendwi. Unasingizia wanakuonea wivu. Unasingizia kuna watu wako kinyume na wewe. Unasingizia mapepo. Unasingizia vita vya rohoni. Unasingizia unapigwa vita. Unasingizia laana. Unasingizia historia.
Utauziwa maji. Utakanyaga mafuta. Utauziwa stika. Utauziwa mandazi. Utauziwa leso. Utauziwa udongo. Ukiamini ni upako. Utatoa sadaka ya malango. Utatoa sadaka ya kujilipua. Utatoa sadaka ya kujimaliza. Utawamaliza mitume. Utamaliza makanisa.
Utaanza mwaka. Utamaliza mwaka. Utabaki vile vile. Utaanza tena aya ya pili. Utakuja aya ya tatu. Utaanza mwaka mwingine. Utaumaliza. Kumbe shida ni tabia zako na misimamo unayoilinda kwa nguvu zote.
Unyonge—zile hisia za uduni, hisia za kujiona hutoshi—ni mada muhimu katika ushunuzi. Ukisoma kazi za Alfred Adler, mshunuzi nguli, unajifunza kwa nini baadhi yetu tunapata utoshelevu kwa kuwazidi wenzetu na wakati mwingine furaha yetu inategemea namna tunavyowatia unyonge watu.
Alder anasema tunazaliwa na unyonge—maumbile, uelewa, hisia, utegemezi na kadhalika. Unyonge huu ndio msingi hasa wa utegemezi wetu na utii wetu kwa wazazi/walezi. Sehemu kubwa ya utoto wetu, Alfred Adler anasema, ni jitihada za kupambana unyonge. Malezi, kwa kiasi kikubwa, yanaamua kwa kiasi gani tunaushinda unyonge huu.
Wengi wetu, kwa sababu mbalimbali, tunavuka utoto wetu tukiwa bado wanyonge. Tunapambana na unyonge kwa kujifunza tabia fulani fulani (mistaken goals) zinazolenga kuwatia unyonge wenzetu:
Tunashindana kuongoza darasa.
Tunataka kuwa viranja wa darasa.
Tunakuwa watundu tufahamike.
Tunakuwa wapiga kelele.
Tunajihusisha na watu maarufu.
Tunagombana na wenzetu na kadhalika.
Haya yote, Adler anasema, ni jitihada zetu za kuushinda unyonge.
Ukubwani, hisia hizi za unyonge, zinaweza kuathiri namna tunavyoyatazama maisha na aina ya ndoto tunazozipambania. Ukiwa mnyonge, madhalani, unakuwa na ndoto zinazokuwezesha kushindana na kuwatia unyonge wenzako. Ukiushinda unyonge unakuwa tofauti. Unayatazama maisha kwa miwani inayokuwezesha kutatua unyonge wa wenzako.
Ukijitazama kwa dhati, unadhani unawaonaje wenzako? Je, ndoto zako zinakuwezesha kushindana na kuwatia unyonge wenzako au unatumia uwezo wako kuwasaidia wanajamii kupambana na unyonge? Ikiwa unapata furaha kwa kuwasaidia wengine na kujenga uhusiano wa usawa, hiyo ni ishara ya kuushinda unyonge wako. Lakini kama mwenzetu una hamu kubwa ya kuwashinda au kuwadhalilisha wengine ili ujione “bora”, hiyo inaweza kuwa ishara ya kutawaliwa na unyonge.
School in US punishes misbehaving students with 5km hikes paired with poetry readings, ice-skating, rafting, and snacks. The results have been spectacular.
https://t.co/Y4Nv2zqpss
Majiji ya Tanzania yanakua kwa kasi kuliko uwezo wetu wa kuyapanga. Siasa zinabadilika kila baada ya miaka mitano, lakini miji haingoji uchaguzi. Mji unajengwa kila siku. Bila mpango, bila mwelekeo wa muda mrefu, bila ujasiri wa kufanya maamuzi yasiyopendwa kisiasa.
Nashauri tuunde vyombo vipya kabisa vya usimamizi wa majiji ambavyo havitokani na siasa (nafahamu kuna ambavyo vipo na ni semi-autonomous). Hivi vyombo vipya tusivipe kabisa majukumu tuliyozoea. Tusiwafunge kwenye presha ya miaka mitano. Tunaweza kuviita Development Boards.
Development Board si baraza la madiwani lililovishwa jina jipya. Ni chombo cha kitaalamu, chenye mamlaka ya kufikiria mji kwa miaka 20, 30 au 50 ijayo. Vitaundwa na wataalamu wa mipango miji, uchumi, mazingira, usanifu, miundombinu na teknolojia ikiwezekana kutoka ndani na nje ya nchi. Watu wanaouliza swali moja tu: mji huu unatakiwa uweje, si nani atashinda uchaguzi ujao.
Tuchague hata majiji matano kama majaribio;
1. Dar es Salaam.
Mji mkubwa kuliko wote. Umejaa fursa, lakini pia msongamano, ujenzi holela, na shinikizo la kila aina. Dar es Salaam City Development Board ingefikiria upya mji kama bandari ya kimataifa, kituo cha biashara na huduma za Afrika Mashariki na kati (mfano tunawezaje kuwafanya Wamalawi, Zambia, Burundi, Rwanda, Uganda na kadhalika wasiende China, waje hapa kwetu kununua bidhaa. Si tuna bandari?)
Jukumu lingine ni re-planning ya makazi, barabara za watembea kwa miguu, usafiri wa umma uliounganishwa, maeneo ya kijani, na matumizi bora ya bahari. Tumeona Barcelona ilivyogeuza bandari yake kuwa sehemu inayoishi, si mizigo tu. Dar inaweza.
2.Arusha.
Mji wa utalii, diplomasia na mazingira. Lakini unamea bila mpango wa kulinda utambulisho wake. Arusha City Development Board ingeweka mpango bora kuhusu aina ya majengo, hifadhi ya mandhari ya Mlima Meru, na mji wa watu, si wa magari. Mfano mzuri ni Kigali. Mji safi, uliopangwa, na wenye nidhamu bila kuwa mji wa anasa.
3. Mwanza.
Ziwa liko hapo, lakini mji haujaishi vizuri sana na ziwa. Mwanza City Development Board inge-reimagine mji kama lake city ya Afrika. Waterfronts, biashara ndogo ndogo za uvuvi na utalii, viwanda vidogo vingi vya kuchakata samaki, usafiri wa majini, na maeneo ya burudani kwa wananchi na watalii. Tunaacha kufikiria utalii kama mbuga za wanyama pekee. Mfano upo. Miji kama Entebbe au hata Cape Town imejifunza kugeuza maji kuwa injini ya mji.
4. Tanga.
Mji wenye historia, bandari, na mandhari ya kipekee. Lakini umesimama kwa muda mrefu. Tanga City Development Board ingeunganisha historia, viwanda, na uchumi wa bluu. Mji wa viwanda vidogo, logistics, na utalii wa urithi. Miji ya Asia kama Penang ilifanya hivi.
5. Dodoma.
Makao makuu ya nchi. Lakini bado ni mji unaojitafuta. Dodoma Capital City Development Board ingeunda mji mkuu wa kisasa tangu mwanzo. Mji wa taasisi, maarifa, mikutano ya kimataifa, na maisha bora. Mfano uko wazi. Brasilia ilijengwa kama mji mkuu kwa maono. Dodoma ina nafasi hiyo.
Kazi za Development Boards ziwe za kitaalamu;
1. City Re-Planning.
Kupanga upya matumizi ya ardhi, makazi, biashara na viwanda kwa mantiki ya mji unaokua, si wa jana.
2. City Beautification.
Sio kupaka rangi hapa na pale. Ni bustani, taa, public art, njia za watembea kwa miguu, na uzuri wa mazingira.
3. Urban Mobility.
Usafiri wa umma unaofanya kazi, baiskeli, kutembea kwa miguu, na kupunguza utegemezi wa magari binafsi.
4. Economic Zoning.
Kila mji ujue nguvu zake. Wapi biashara, wapi viwanda, wapi utalii, wapi makazi. Hakuna kuchanganya kila kitu hovyo.
5. Climate and Resilience Planning.
Miji inayostahimili mafuriko, joto kali, na mabadiliko ya tabianchi. Hili si la baadaye. Ni la sasa.
Muhimu zaidi, wapewe bajeti ya kazi, si ya vikao. Bajeti ya kujenga, kupanda miti, kununua ardhi ya umma, kubomoa pale inapobidi, na kuwekeza kwenye miundombinu. Si bajeti ya posho, safari na magari.
Maendeleo ya nchi mara nyingi hayaanzii majukwaani. Yanaanzia kwenye miji inayofanya kazi.
@gauremdee Nduu za juu na za chini
Magimbi
Soo
Viazi vikuu
Kweme
Malali
Ikonosi(aina ya ndizi)
Hizo ni baadhi tuu ya mimea ya chakula ambayo kwa sasa ni nadra sana kuikuta randomly mashambani kama zamani