Kiupekee Tunawashukuru Bench la Ufundi, Wachezaji na Wafanyakazi wa Mbeya Kwanza.
Tena tunawashukuru Mashabiki, Wapenzi na Wadau wote mliotusapoti kwa msimu Mzima maana tulishinda Pamoja, tulisare pamoja na tukafungwa pamoja, tunajua mmeumia lakini ndio Mpira ulivyo
Aksanteni👏🏾
Mghonile watu wa Mungu.
Tunaomba support yako kufanikisha jambo letu vijana wa @MbeyaBoys
Tafadhali RT mdau wetu anaweza kuwa kwenye TL yako.
Ndagha!!!