Ufunguzi wa Oparesheni ya +255 ni ukurasa wa kwanza kuelekea kwenye mabadiliko makubwa ya kisiasa na kimfumo katika nchi yetu. Sisi kama CHADEMA tumezunguka mikoa mitatu, tumefanya mikutano kwenye wilaya 16, majimbo 25, Kata 403, Mitaa 367, Vijiji 1,211 na Vitongoji 7,028. Huu ni mwanzo tu wa kuhakikisha Watanzania wanatambua umuhimu wa Katiba Mpya na nafasi yao katika mabadiliko chanya ndani ya Tanzania.
Ukurasa wa kwanza umekamilika, tuko tayari kuandika kurasa zingine.
#255KatibaMpya
SERIKALI ya MIZUKA ya CCM inawadharau WALIPA KODI Tanzania
Frame 1: Safari za SGR kuanza Agosti 2021
Frame 2: Majaribio SGR kuanza Aprili 2022
Frame 3: Treni ya SGR kuanza Mei 2023
Frame 4: Majaribio ya SGR kuanza Julai 2023
@tzrailways & @WizarayaUJnaUC kwanini MNATUDHARAU?
@pendendezah@IAMartin_ Chadema waliwekewa nani Lowassa?Yule hakuwekwa, aliutaka na alijiandaa nao wakamnyima ndipo akakimbilia upande wa pili na alishinda wakamnyang'anya ushindi na aliyenyang'anya aka save kipindi kimoja tu akatwaliwa,Mungu ni mkali sana😂
@wolowolo4250@MrLiver1892 @mdudechadematz @SuluhuSamia Unadhani anavyofirwa mamaako ndo wengine ni hivyo?Babaako kakimbia mji cause mamaako ni Malaya muuza mkundu
Msikilizeni @TheRealJongwe 👇🏾
Kumbukeni wakati wa utekaji @mwigulunchemba1 alikuwa waziri wa mambo ya ndani na Bashite alikuwa mkuu wa mkoa
Haya yalifanywa kwa sheria hii sasa hawa wasiojulikana wanaenda kulindwa na mabadiliko ya sheria huwezi kuwataja, watakuwa na kinga ya jinai na rasmi watapewa idhini ya kufanya chochote (jinai ni ujambazi, kuua,kutesa)
Hivi wabunge wa CCM nyie mnafikiri mko salama?
Pitisheni muone 😃 yaani siku mnabanwa na kutolewa bastola tutawaambia #TutaelewanaTu
👋🏽 mmeyataka wenyewe
Msipitishe haya mabadiliko ya sheria! Ulizeni kuna dharura gani iletwe sasa? Nani kasema sheria iliyopo inahitaji marekebisho
Mnapangwa msikubali kupangika 😄
Waambieni TISS 👉🏽Hatupangwingwi
Ngoja tuone nani kabaki mwenye chembe cha ujasiri bungeni maana akina Sugu mmewahujumu hawapo kuwasemea 🙄
Binafsi sina tatizo na mzungumzaji au Lukuvi au Chongolo waliopo katika huo mkutano
Tatizo ni hao wanaoshangilia na kupiga makofi, ni watu wenye ubongo wa binadamu?
Kwamba kadi ya CCM unaweza kutumia kama bima ya afya na ATM kutoa fedha benki?
CCM wanawadharau sana watanzania
Nawapa tahadhari mnaopuuza anachosema kada wa CCM kuhusu digital card ya CCM msikilizeni alafu someni hapa:
👉🏽 “Kila mtanzania atakuwa na kadi ya CCM” how? Universal ID card itaunganisha mifumo yote
👉🏽 “utaweza kutumia kupata huduma” - Universal ID card inaunganisha NHIF, kadi ya kura, kitambulisho na leseni
👉🏽 Nani anaamua ni kadi zipi zitaingizwa ktk mfumo huu? Mfano kadi ya CCM itambulike ndani ya Universal ID system? Serikali ya CCM
👉🏽 “kuanzia mwezi wa nane” - mfumo unaanza kuwekwa July 01
Sasa chekeni na mpuuzeni msije kusema hamkujua
Nimewasanua!
#TutaelewanaTu
Mashirika ya UJASUSI nchi zenye watu TIMAMU yanapambania ujasusi wa KIUCHUMI. CCM wamejikita na ujasusi wa KULINDA DOLA. Marekebisho ya sheria ya TISS yanawapa kinga MAAFISA wa TISS dhidi ya makosa ya JINAI. Kwamba, wanaweza KUTEKA au KUUA na wasishtakiwe. CCM mmerukwa na akili?
Bavicha queen Hellen Lija Sisya amechaguliwa kuwa Naibu Katibu wa Umoja wa Vijana wa Vyama vya Kidemokrasia Afrika (Young Democrat Union of Africa - YDUA) katika uchaguzi uliofanyika leo Mei 30, 2023 mjini Addis Ababa, Ethiopia.
Tumtakie Majukumu mema katika nafasi hiyo.
Miaka ya nyuma Rais wa Argentina Bi. Cristina Fernández de Kirchner alitunga sheria ya kuwapa kinga za jinai maafisa usalama. Sheria hii ilimgeuka na kumletea madhara pia. 2015 January bunge la nchi hiyo lilifuta idara ya usalama wa taifa. 2023 Bi. SSH analeta sheria ya namna hii
#BUNGENI: Serikali imepeleka Muswada unaopendeleza Mabadiliko ya Sheria ya Idara ya Usalama wa Taifa
Muswada unapendekeza kufanyiwa marekebisho Kifungu cha 13 ili kuweka utaratibu wa kuapishwa kwa Mkurugenzi Mkuu, Naibu Wakurugenzi Wakuu, Wakurugenzi na Maafisa wa Idara
Inapendekezwa Kifungu cha 16 kifanyiwe marekebisho ili kuzuia ufichuaji wa utambulisho wa Watu wanaofanya kazi katika Idara au Watu wengine wanaoshirikiana na Idara na kumpa Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya udhibiti wa Watu hao.
Kifungu cha 19 kinapendekezwa kurekebishwa ili kuongeza kinga ya Makosa ya Jinai kwa Maafisa wa Idara tofauti na ilivyo sasa ambapo kinga imetolewa katika Mashauri ya Madai pekee dhidi ya Maafisa hao
Soma zaidi https://t.co/pSM2EF1emw
#Governance
Am happy that today I have completed leadership journey within YDUA.
I have been the leader on different positions for the period of four years.
I am sure @YDUA_AFRICA will grow safely & more strong under the new leadership President @KiiryaIsmail
30.April.2023
Addis Ababa.
Unatunga sheria kumkinga mtu na makosa ya jinai ili iweje? Karne hii ccm wanaongozwa na fikra zilizoishi karne ya pili?
Zama hizi kinga ya jinai? Maana yake unamhamasisha huyu mtu kutenda jinai kwasababu ana kinga….
Hawa si watakosana na mtu kwenye baa au mapenzi na wataua?