This is very wrong accusation to our beloved President, am sure if you didn’t rush on your research you could find how Tanzania economy Grows fast. The problem is you verify the truth from ant Tanzanian Activists. Tanzania is safe under @SuluhuSamia
𝗛𝗜𝗟𝗜 𝗡𝗗𝗜𝗢 𝗩𝗜𝗕𝗘𝗦 𝗟𝗔 𝗢𝗞𝗧𝗢𝗕𝗔
Watanzania wamejitokeza kwa shangwe na furaha kubwa kushuhudia uzinduzi wa kampeni za CCM kitaifa, ishara ya utayari wao wa kumpokea Dkt. Samia Suluhu Hassan na Dkt. Emmanuel Nchimbi.
#SafariYaCCM#SafariYaUshindi#OktobaTunatiki✅
MOYO WA MSAMAHA NDIO UTAKAOLIJENGA TAIFA LETU - DKT. NCHIMBI
Katika tafakari ya kipekee ya Sikukuu ya Pasaka, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, ametoa wito mzito unaogusa misingi ya utu, imani na ujenzi wa taifa.
Ametoa rai kwa Watanzania, hususan Wakristo, kutambua nguvu ya msamaha kama msingi wa kulijenga taifa imara.
“Yesu hana hatia na hana dhambi, lakini anasema ‘natoa maisha yangu, maisha ya sadaka safi kwa ajili ya maisha ya watu wengine wenye dhambi’,” amesema Dkt. Nchimbi, akisisitiza kuwa sadaka ya Kristo ni somo la upendo na msamaha wa kweli.
Ameeleza kuwa sala ya Baba Yetu, inayotamkwa na kila Mkristo, hubeba agizo la kusameheana.
Hata hivyo, ametahadharisha juu ya unafiki wa kuomba msamaha kwa midomo huku mioyo ikiwa imejaa chuki.
“Unamaliza tu sala ya Baba Yetu, hapohapo unaanza kukumbuka mwenzako aliyekukosea mwaka juzi,” amesema.
Kwa msingi huo, ametoa ujumbe wa kipekee unaosema:
“Msamaha unaotoka kwa Bwana Yesu unaimarishwa na msamaha unaotoka kwako kwa ndugu zako, kwa jirani zako, kwa rafiki zako na kwa adui zako. Moyo wa msamaha ndio utakaolijenga taifa letu.”
Katika siku hii takatifu ya Pasaka, Dkt. Nchimbi amewahimiza wananchi kusema kwa dhati: “Mchango wangu kwa taifa langu ni kusamehe walionikosea, kwa sababu najua hiyo ndiyo sadaka kubwa kuliko zote kwa Baba Mungu wa mbinguni.”
Kwa hakika, msamaha ni zawadi, ni ujasiri, na ni jiwe la msingi la Tanzania yenye umoja, amani na maendeleo.
RC MTANDA MGENI RASMI KATIKA KONGAMANO LA KUFUNGUA CODE YA KUTENGENEZA MAMILIONEA MKOANI MWANZA
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. Said Mtanda, atakuwa Mgeni Rasmi katika Kongamano la Fursa na Uchumi lenye lengo la kutoa elimu kuhusu mgao wa 30% za Samia kupitia NeST.
GENERATION SAMIA (GEN S) YAZIDI KUNG’ARA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 48 YA CCM
Vijana wa GEN S wamethibitisha tena kuwa wao ni nguvu ya sasa na kesho! Kwa ari, nguvu, na mshikamano, wanaendelea kuunga mkono juhudi za Mh. Rais kwa kushiriki kwa kishindo katika maadhimisho haya
GENERATION SAMIA (GEN S) YAZIDI KUNG’ARA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 48 YA CCM
Vijana wa GEN S wamethibitisha tena kuwa wao ni nguvu ya sasa na kesho! Kwa ari, nguvu, na mshikamano, wanaendelea kuunga mkono juhudi za Mh. Rais kwa kushiriki kwa kishindo katika maadhimisho haya
Simulizi hii ya 'Safari ya CCM' inatueleza namna michakato ya kidemokrasia nyakati za uchaguzi inavyokiimarischa Chama cha Mapinduzi (CCM), kwanzia zama za siasa za chama kimoja hadi ulipokuja mfumo wa vyama vingi.
'Safari ya CCM' inaenda mbali kwa kutueleza kuwa, toka enzi za uenyekiti wa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere hadi kumpata Mwenyekiti wa sasa, Ndg. Dkt. Samia Suluhu Hassan, CCM imepita katika nyakati ngumu na nyepesi, na nyakati hizi ndizo zinazokiimarisha Chama cha Mapinduzi na kukifanya kizidi kushinda chaguzi mbalimali na kupendwa na wananchi walio wengi kila siku iitwayo leo.
Dua na salamu kwa wananchi wa Pasiansi mara baada ya kuwasili mkoani Mwanza mchana wa leo ambapo pamoja na mambo mengine nitahitimisha Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru pamoja Wiki ya Vijana.
KAMUSI YA MAENDELEO
"Vijana ndio kundi lenye nguvu za kufanya kazi ndio maana wanaitwa nguvu kazi ya Taifa, ni watu wenye ubunifu, watu wenye uthubutu na ujasiri na ndio waliobeba maono ya Taifa kwa sasa na siku zijazo"- Dkt. Samia Suluhu Hassan
#KamusiHalisi#KamusiYaMaendeleo
CCM ni chama kinachobadilika kutokana na Dunia inavyobadilika, na ndio maana wakaachana na usajili wa kadi za makaratasi wakaamia kwenye Digital world leo ndo mnazinduka baada ya kuona namba zenu za wanachama ziko chini?