🎴‼️Ukurasa wa 4 wa mkataba wa kiserikali (IGA) inaeleza mazingira yaliyopelekea Tanzania & Dubai kuingia mkataba huu
- Ziara ya Rais @SuluhuSamia ya Dubai Expo 2020
- MoU ya TPA na DPW iliyosainiwa wakati wa Dubai Expo
KULIKUWA HAKUNA ZABUNI wala nini!
Tusikubali upotoshaji!
🚨 New “USINITISHE” video 👊🏽
“Usinitishe sina hatia”
Pole sana ndugu yetu - haya madhulmat ndo walivyo wanawaza kutisha, kuumiza, kufunga , kuteka! Wanafikiri madaraka yao ni kama zawadi wamepewa kwa sababu wanastahili hawajui ni JUKUMU na UTUMISHI - walaaniwe!
#TutaelewanaTu
Jipe dk 2 za kumsikiliza huyu MWAMBA @freemanmbowetz alivyoichambua serekali ya @SuluhuSamia siku ya jana. Kimsingi CCM hii NCHI imewashinda, sasa badala ya kukaa pembeni, wao wanataka kukabithi NCHI hii Kwa WAARABU kwa mgongo wa MIKATABA ya HOVYO isiyo na ukomo. HATUTAKUBALI.!!!
Kazi zinazoendelea sekta ya uchukuzi ni pamoja na uboreshaji wa bandari na ujenzi wa SGR, Serikali inachukua hatua za kuboresha bandari ili kupata tija ya uwekezaji mkubwa wa ujenzi wa SGR.
#MamaYukoKazini
Ujinga ni kufikiri CCM ni chama kwa maana halisi na inajali maslahi ya mwananchi wa kawaida (mtanganyika, mzanzibari, mkristo au mwislamu)
CCM ni genge na wanajali maslahi yao - we wa kawaida huna maana kaa pembeni! Utatumika tu baadaye utatoswa!
Tuungane tupiganie #KatibaMpya
Ifike mahali TUWASUSE hawa maharamia wanaouza nchi!
Yaani ni kwamba tunawasusa online and physically!
Watanganyika tuache woga! Tuweke azimio kila aliyesimama kutetea mkataba wa DP World TUWASUSE #boycott
Na ni kuwasema usiku kucha
Orodha ya wabunge wote wa CCM tutaiweka tuwajue
"Kuhusu barabara ya Mtongani niwahakikishie kwamba wilaya ya Temeke tunamshukuru Sana Rais Samia Suluhu Hassan huwezi kutaja barabara za Dar es Salaam bila kuitaja Temeke. Na Temeke ndio inaongoza kwa barabara nzuri katika mkoa wa Dar es Salaam na zinapitika lakini chache ambazo zina changamoto tunaanza mradi muda si mrefu DMDP 11 na hiyo barabara ya Mtongani ni miongoni mwa barabara zitakwenda kushughulikiwa" - Mwanahamisi Munkunda, DC Temeke
#SentroyaCloudsTv
"Watu ambao wanasema vijana tukajiajiri ni wale waliokaa maofisini, wao tayari wana vyeo na nafasi, kujiajiri sio kitu rahisi, ingekuwa ni rahisi na wao wajiajiri basi, watulee kwanza kufanya biashara ili tunapokuwa tuweze kuwa wafanyabiashara bora,"- Johnia Buzile, Mjasiriamali