Top Tweets for #WasafiFM
KUPAA BEI YA MAFUTA KILIO KWA WAFANYAKAZI
Cc. @TzConte @musakipanya @Gerald_Hando
#WasafiFm #MchezoUmebadilika
Ni vitu gani vinakukumbusha enzi za Kizazi chako ukilinganisha na hiki kizazi cha ‘Genz’ cha sasa?
Cc. @salmadacotha @musakipanya
#MchezoUmebadilika #WasafiFm
Kuna uhusiano gani kati ya kumpaka Wanja mtoto mchanga na husda ama Kijicho?
Tupe maoni yako⤵️
Cc. @salmadacotha @musakipanya
#MchezoUmebadilika #WasafiFm
TAREHE YA HUKUMU YAMSHITUA TUNDU LISSU
Sponsored by @yastanzania_
Cc. @salmadacotha @musakipanya @_.ikula @geraldhando
#goodmorning #wasafifm
Keshooooooo ndani ya #SPORTSARENA PALE #USAFINI
👉 #ChelseaTanzania Tutahutubia Taifa kuanzia sa Nne Asubuh
#ChelseaEvent2025
#WasafiFm

🔥 It’s going down LIVE on @wasafifm with the legendary @BebeCoolUG ! Don’t miss this exclusive interview on #TheSwitch 🎙️
🗓️ 09 July 2025
🕑 2PM - 5PM
🎤 Hosted by @LilOmmy Ammy Gal & Aaliyah
🇺🇬 x 🇹🇿 vibes ziko juu sana! Tunakiwasha moto bila brakes! 🔥
#BebeCool #WasafiFM

Mtangazaji Edo kumwembe akilielezea deni la taifa na madhara yake yanayotokana na kopa. Credit #WasafiFm
Kocha Mchezaji na Mtangazaji wa Kipindi cha Good Morning kutoka #Wasafifm @mshambuliaji ameshangaa kutangazwa kwa tarehe ya Derby ya Kariakoo Juni 15 huku wahusika Mamlaka inayosimamia Mpira nchini TFF na Bodi ya Ligi zikishindwa kutoka hadharani na kueleza kadhia ya Machi 8 iliyosababisha mechi hiyo kuhairishwa.
Kitenge anaamini Mamlaka ya mpira na Bodi ya Ligi zinapaswa kutoka hadharani na kuomba radhi kwa kadhia ya Machi 8 kabla ya kutangaza ratiba ya Mechi ya Derby Juni 15.
#WasafiSports
Huyu Pateniii ni Story mingine, Kipaji hapa🔥🔥🔥🔥 #wasafiFm
@MsLACampaign @SuluhuSamia @ikulumawasliano @KassimMajaliwa_ @DBiteko @Hakingowi @j_kabudi Msaada wa kisheria wa Mama Samia kwa haki, usawa, amani na maendeleo
@MsLACampaign @sisiniTanzania @ikulumawasliano @matokeochanya @NCHIYANGUT @Sheria_Katiba
.
.
.
#TBCDIGITAL #tbc_online #wasafifm

Umesikiliza wazee wa minyama wakifanya uchambuzi kwa kudai kuwa kuna Waziri anataka Urais kwa nguvu zote sikiliza wakimchambua hapa. Credit #WasafiFm
Hii ndio akili Yako sahihi uliyo kua nayo #WasafiFm najua Ulikutana na mazumbukuku wa #CrownFm kama #Jemedari #JumaAyo na ndio tatizo likaanzia hapo
Lakini nazani Huu mfungo wa #Kwaresima na #Ramadhani utakukomboa Mwanetu na Ushilikina wa wachambuzi vilaza unaokanao karibu.

@matokeochanya #Mamaanafanikisha na #kaziiendelee na mradi huu ni imani kubwa kwa watanzania juu ya serikali
Follow 👇👇 kwa mengi na mengine zaidi
@mamayukokazini @sisiniTanzania @Sheria_Katiba @ikulumawasliano @maji_mowi
.
.
.
#sisinitanzania #wasafifm #SSH #cloudsfm
@sisiniTanzania Msaada wa kisheria unajenga uhuru na maendeleo unapunguza unyonge..
Follow 👇👇 kwa mengi na mengine zaidi
@sisiniTanzania @MsLACampaign @ikulumawasliano @mamanafanikisha @maji_mowi
.
.
.
#kaziiendelee #tbc_online #wasafifm

@sisiniTanzania @SuluhuSamia @maji_mowi @Water @matokeochanya @NCHIYANGUT @MsLACampaign @JamiiForums @maendeleoyajami @ortamisemitz Maji ni uhai na nihitaji la kila mmoja wetu ...Same hoyee...
Follow 👇👇 kwa mengi na mengine zaidi
@MsLACampaign @Sheria_Katiba @NCHIYANGUT @ikulumawasliano @mamanafanikisha
.
.
#sisinitanzania #wasafifm #SSH #tbc_online #tbctaifa #cloudsfm

@NCHIYANGUT @TUMAINICOTTAGE @WomansDayAus @AirTanzania @TanzaniaDigest @sisiniTanzania @SuluhuSamia Arusha vibe iko juu.
Follow 👇👇 kwa mengi na mengine zaidi
@sisiniTanzania @Sheria_Katiba @MsLACampaign @mamanafanikisha @ikulumawasliano
.
.
.
#tbc_online #matokeochanya #wasafifm

KARIAKOO DERBY MEDIA TOUR | Meneja Promosheni na Matukio wa Azam Media , Sebastian Mwaikambo anasisitiza ulipie mapema kisimbuzi chako maana menyu imekamilika.
Hapa ni #WasafiFM asubuhu ya leo kuelekea Derby ya Kariakoo...
Jambo lenyewe ni Machi 8, 2025 saa 1:15 usiku LIVE #AzamSports1HD
#NBCPremierLeague #NBCPL #KariakooDerby #WataniWaJadi #YangaSimba #YangaSC #SimbaSC #HainaKipengele

KARIAKOO DERBY MEDIA TOUR | "...anayejipiga mwenyewe huwa halii"
Mtangazaji wa Derby , #RamadhanNgoda ndani ya #WasafiFM leo asubuhi anasema hii itakuwa derby yake ya nne kutangaza na haitakuwa kama "...haitafanana na ya kwanza , itatofautiana na ya pili, na ni tofauti kabisa ya tatu".
Jambo lenyewe ni Machi 8, 2025 saa 1:15 usiku LIVE #AzamSports1HD
#NBCPremierLeague #NBCPL #KariakooDerby #WataniWaJadi #YangaSimba #YangaSC #SimbaSC #HainaKipengele

Mtangazaji wa #wasafifm, Juma Lokole amerejea ndani ya studio za Wasafi huku akisindikizwa @mashalove_og kureje kazini katika kipindi cha Mashamsham
Kwa kipindi cha mwezi mmoja sasa Juma alikua nje ya kipindi cha Mashasham kutokana na taarifa zinazosemekana ni mgogoro kati yake na msanii Zuchu juu ya jinsi anavyowasilisha maudhui yake kwenye kipindi cha Mashamsham.
VIDEO : @ankali_mambi
@MsLACampaign @biteko #kaziiendelee kwani #MamaYukoKazini nchi iko salama na maendeleo tunayaona twakupongeza Daktari @SuluhuSamia unatosha na tunatamba na wewe....
Follow 👉👉👉 @ikulumawasliano @matokeochanya @NCHIYANGUT @Sheria_Katiba @sisiniTanzania
.
#sisinitanzania #wasafifm #jamboonlinetv

Last Seen Hashtags on Sotwe
VarietyShows
Seen from United States
DASH10
Seen from United States
turklezbiyen
Seen from Turkey
nationplay
Seen from Poland
teenageer
minichat()**filter:native_video()**filter:native_video()**filter:native_video()**filter:native_video
Seen from Turkey
public jerking
Seen from Philippines
brosisfun
Seen from Germany
Coultrain
Seen from United States
أدم_بنشقرون_مع_السعودي
Seen from Algeria
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.4M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers











