Thanks my Lord ๐ thanks my family for the support u provide in order ur last born bbygirl to achieve my first degree I really appreciate you.....ur my everything to me๐ฅฐ๐ฅฐ
#officialenvironmentalist
African problem is solved by African ways of solving it. If African want the best for them selves in the middle of this Corona cross let them find medics in African ways.
God bless Africa. Our ancestors help us on this.
Janga hili kubwa la corona limetokea nchini kwetu lakini watu wanatumia kama opportunity kuingiza pesa bila kujali sisi watu wa kipato cha chini tutaweza kununua hizo mask na sanitizer kwa bei hiyo kweli hebu serikali iliangalie hili suala kwa makini zaidi @umwalimu
Happy women day to all women
Hongera kwa wanawake wote wanaotokwa jasho kwaajili ya maisha yao na familia zao Mungu azidi kuwapigania.@jigemariam@regina_theobald @FlavianaMatata@jokateMwegelo
I feel so lucky to have you as my friend. Hope your birthday is as special as you are, may all of your dreams come true,thanks for being such a great friend,,,, happy birthday @PowerfulSamant1
Tukiwa tunakaribia Siku ya wanawake duniani. Labda tuwekane sawa mwanamke ni mtu jasiri, mpambanaji, mwenye kusambaza upendo na kutia moyoโค. Shout out kwa wanawake wote wenye sifa izo hapo juu. Usisahau kuwataag๐
#superwomen@PowerfulSamant1@MissAmos5@regina_theobald
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Ndg Philip J. Mangula amewaongoza wanachama na uongozi wa CCM Mkoa wa Dodoma katika sherehe ya kuadhimisha miaka 43 ya kuzaliwa kwa CCM iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa CCM Dodoma, DCC.