Kuna baadhi ya waajiri sekta binafsi wanahisi waajiriwa hawana uelewa kuhusu haki zai za msingi na hii hupelekea kuwachukulia Kama maboya yenye uhitaji. No professionalism
#Kampuunizamichongo
Asanteni sana wote mlionitumia Salaam za Heri na Upendo katika mfanano wa siku yangu ya kuzaliwa.
Nimepokea Salaam zenu kwa heshma na unyenyekevu mkubwa๐. Mwenyezi atujalie umri mrefu wenye heri, afya njema na baraka nyingi. Lots of love๐บ๐บ๐บ
@HKigwangalla Thibitisha hicho ukisemacho kwa tafiti ndogo uliofanya na kwa nn serikali isijikite kwenye kutengeneza chanjo yake yenyewe ili tujiridhishe kuwa n salama zaidi kuliko hiyo ya kuletewa
Rafikiii!..
yaani mission accomplished!.. one more to go ni kuhakikisha huwi nominated tena kokote duniani kwenye tuzo zozote!..
Si unadharau wewe!..tutakuweka unapostahili yaani
Hv ofisi ya nkemia mkuu ndo kusema wao hawaajiri ama hawana upungufu wa wakemia.
Afu serikali kupitia wizara ya Afya pamoja na viwanda ifikilie kuanza sasa kuunda Baraza la wakemia nchini
@bongofive Sheria nyingine bhnaa n changamoto, inapaswa kutafuta namna ya kumpatia fedha huyu msanii through hizo sharing platform. Na s kutunga Sheria ambazo utekelezaj wake utabak kuwa wa maneno.