Happy birthday @freemanmbowetz
Wishing you many happy returns and may God bless you with many more years of success, happiness and good health ππ½
Huyu jamaa akiombaga kipaza kwenye press kumuuliza swali kiongozi huwa na-pay attention sana, he never disappoints me πͺ
Tulipeni maua yake aiseee linasimamaga sana na sisi upande wa wapiga kuraππ
Familia Kabisa Huyu!!
Aaf liko kwenye game miaka mingiπ
Mi nalikubaligi kweli hili, HipHop Kabisa.
Team yetu ya Chama ikiongozwa na Naibu Katibu Mkuu, Bara Mhe Benson Kigaila imekuwa na kikao na Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum, Dar Es Salaam ACP Jumanne Muliro na timu yake kuhusiana na Maandamano ya Amani yanayopangwa na kuratibiwa na CHADEMA siku ya Jumatano, 24 Januari 2024.
Makubaliano yamefikiwa kuwa maandamano yaendelee kama yalivyopangwa.
Nalipongeza Jeshi la Polisi kwa busara hii. Karibuni Watanzania wote, tuandamane kwa Amani.
@LatraTZ@LatraTZ Naomba kuuliza vigezo vilivyo tumika kupanga nauli za Segerea to Gongo la Mboto na Segerea to Mbezi mwisho! Maana kutoka Segerea to Mbezi kuna km 15 na nauli ni 550/=,na kutoka Segerea to Gongo la Mboto juna km 10 lakini nauli ukivuka banana tu ni Sh.600/= hii ni haki??
Keyboard warriors tujuane hali π
Acha tuendelee na ma-Space yetu π€£π€£π€£ na ku-typetype aisee
Illa #TutaelewanaTu kama bado hatujaelewana ππ
Acha tumalize #IWD2022 salama πͺπ½
Tumeisubiri hii MOMENT kwa maslahi ya TAIFA kwa muda mrefu sana,na tuliiomba toka enzi ya JIWE bila mafanikio ... Hongera sana Mwenyekiti @freemanmbowetz, hongera sana Mh Rais @SuluhuSamia
Narudia hakuna busara wala huruma wala redemption ya Rais iliyomtoa Freeman Mbowe bali ni PRESHA PRESHA!
Haya mengine ni face saving excuses ili wapate cha kuelezana kwenye vikao vyao!
Siku 226 hiyo huruma ilikuwa wapi?
#TutaelewanaTu hata kama siyo leo! Tuendelee na #KatibaMpya
Askofu @EmmausAskofu amekuwa katika mwendo sahihi wa kueneza kweli , Haki , upendo uliothabiti , akihubiri amani anamanisha kwa vitendo kwa kukaa pamoja hata na wale tusiotakiwa na watawala kwake yeye ukiristo ni vitendo na ufuasi halisi wa Kristo
Retweet Kumuombea baraka
Kama umeridhishwa na Kazi kubwa aliyoifanya Wakili Msomi πππππ« ππ’πππππ₯π kwa siku ya leo na Unaamini hana Deni kwenye ulimwengu wa Sheria basi #Retweet post hii hadi imfikie Mezani kwake wakati anaandaa Nondo za kwenda kumchapa Homeboy wa Mchongo.
Nashon Nkungu: Kuna msemo mmoja unasema "Muosha huoshwa", Mahakama hii hii Wakili aliyesimama Abdallah Chavula ndiye aliyesimama kuhoji mashahidi Wakina Adamoo kwamba komandoo mmoja anapiga askari wangapi.. Hatuku' Object, tulimuacha aulize Maswali yake hapa..