Nafikiri #TOTBonanza ndiyo ilinipa sababu ya kwanini ni muhimu kutokea kwenye event kama hizi ....
Way back 2020 kipindi cha wapwa Tuinuane chini ya @__abdulazack ...
Nilishiriki #TOTBonanza
Wait ✋
Ili wengi tujue umuhimu wa Hii event kindly Rt hapa then endelea ... 👇
@fredgrapher@babalao__ Kitu kama hamkijui muwe mnavunga ila hyo Black Friday ulioelezea ni tofauti na yenyewe ila sio mbaya umeielekeza vizuri inamake sense kimtindo