Nikipata milion5 natamani niwe na bodaboda nmpeleka mkewangu kazini asidhalilishwe na mtoto kwani kuna Siku nilimskia konda anamwmbia mmama amshikilie mwanae vizuri kama alvyoshikilia babake siku akimwaga. @dogolabile@Njamasi_@spana_Konki@Big0047@samuelmway#SPARK8CNatamani
1. Repost post hii
2. Andika kile unatamani kufanya ukipata Million 5! Kwenye caption section
3. Tag marafiki zako watano
4. Weka hashtag ya #SPARK8CNatamani
5. Tag @TecnomobileTZ
Post yenye caption ya kuvutia na engagement kubwa (retweets na likes) ...๐
@assengajrr Sawa Asenga tuache hilo chagizo la matako.
Ila sio busara kijana kama wewe kuwa muongo ili upate attention,
Mbao zinazouza elfu 4 ni 4ร2, za 2x2 zinauzwa 2500 hadi 2700 ukitaka pisi kuanzia 100. Ila chini ya pisi mia unapata kwa sh 3000 hadi 3500.
Kwa hivyo njoo na takwimu
@millardayo Umetumwa upost upuuzi.
Mila na kanisa kipi kilianza?
Kama mtu alikua na mila kilichompelekq kqnisani ni nini kwani umelazimiahwa kwenda kanisani? Baki na mila zako nyaumweusi wewe