@CnHMasters Wanatoa Huduma Za Usafi Na Kuua Wadudu Warukao Na Kutambaa (Fumigation) Majumbani, Maofisini, Kwenye Miradi Na Viwandani Kwa Gharama Nafuu Na Weledi.
Tunao Ushahidi Wa Ujuzi Wetu Na Weledi Usiotiliwa Shaka.
Karibu tukuhudumie.
#WeLoveCleaning#WeDoItForPassion
Tuliaminishwa kwamba wenye itikadi ya kijamaa ni watu wa demokrasia sana na demokrasia katika mapana yake inapeta sana kwenye ndimi zao. Kwa kuangalia na kuwasikia ni kinyume kabisa ni "BROWN NOSING" na uzandiki.
#justiceForZitto
Kuna watu wanadhani kwamba hawataweza kushughulikiwa kutokana na namna ambavyo wanaongoza kwa sasa!.. Mtashughulikiwa hata kama sheria hairuhusu.. Ni maamuzi tu inawekwa sheria mpya kwamba, "..kiongozi yeyote huko nyuma na baadae ataadhibiwa kadiri ya makosa yake.."
Kongamano #serambadala 2018 kanda ya Nyasa mikoa ya Mbeya,Iringa , Songwe,Njombe na Rukwa. Chadema ni imani ni muelekeo.
Tunahitaji sekta binafsi iliyo mahiri na inayowajibika ambayo ina uwezo wa kuleta mabadiliko ya kiuchumi, hii ndio itakua muarobaini wa ajira.
@RealKhalifax @JMakamba Kama January angelikuwa anaongelea kwa hapa Tanzania ni wazi wewe na yeye mngelikuwa hamna kitu kichwani... Kwasasa jitafakari vizuri.