Ukatiri wa kijisia kwa watoto unafanyika kwasababu wazazi hawakai pamoja nawatoto nyumbani na kuongea nao ombi, rangu kwa wazazi wajaribu kuka nao na kuogea nao kwa ukaribu #chukuahatuawa#chukuwahatuwa
Siku ya wasichana kimataifa, tuazimie kupambana na sababu za kina za ukeketaji na ndoa na mimba za utotoni ... yaani mfumo dume ambao unafanya wenye mamlaka katika familia na jamii kuamua na kutenda lolote juu ya wasichana hawa. Sauti ya wasichana huzimwa kabisa
Ni lini serikali itamaliza tatizo la maji ktk kata ya lugunga wilaya mbogwe ambapo kuna mradi wa maji ambao bado unachangamoto ya kutoisha takribani miaka 3 imeisha bila mafanikio..Je serikali ina mkakati gani kuhusu huu mradi?
@billmarwa@OxfamTz@kitilam#ChukuaHatua.
Ni lini serikali itamaliza tatizo la maji katika kata ya lugunga wilaya ya mbogwe ambapo kuna mradi wa mji ambao bado unachangamoto ya kutoisha takribani miaka 3 imeisha bila mafanikio..Je serikali ina mkakati gani kuhusu huu mradi?
@billmarwa@OxfamTz@kitilam#ChukuaHatua
@kwanza_tv @kitilam Ni lini serikali itamaliza tatizo la maji katika kata ya lugunga wilaya mbogwe ambapo kuna mradi wa maji ambao bado una changamoto ya kutoisha takribani miaka 3 imeisha bila mafanikio...Je serikali ina mikakati gani kuhusu huu mradi ili kuondoa tatizo la maji kwa wananchi?
@ChukuaHatua@DocFaustine Muheshiwa, kina mama wengi wanajifungulia nyumbani kata Nanda Mbogwe Geita, serikali ina mpango gani kumalizia kitu cha Afya Nanda?
Waraghabishi kutoka #Mtwara wakutana na waraghabishi Wa #Kibondo#Kitahana katika Mkoa wa #Kigoma kujifunza n kubadilishana mawazo namna ya kuibua matatizo mbali mbali yanayoikabili jamii zetu