Mpollo is a critical thinker with a good analytical character, He is neither Gullible nor dogma. He is a man with heathier skeptism, volunteer and humanitarian
@Sirajitz1 Mtu analipiwa fedha za walipakodi anatoka UK anakuja kuonyeshwa goli la Chama. Nchi ngumu kweli hii.
Ujio wake Kama taifa tumenufaika na nini?
Aina ya viongozi tulionao wanatuona sisi wajinga sana.
@Aduiwayanga Ujinga ni kutoka kwenye hoja na kuingia kwenye vihoja.
Kwa mwenye akili timamu ajiulize kwani huyu Rais wenu kwa miaka 3 aliyokaa madarakani TEC, walimpinga?
Je wanachokisema kuhusu MAUAJI NA HAKI Siyo kweli?