Mwanaume ukijitambua vizuri utagundua kuwa,
Haitoshi kuamini unapendwa kwa kuambiwa au kwa text like "NAKUPENDA"
Mwanaume hapendwi bali anaheshimiwa, Bro ukiheshimiwa utapenda tu
Ndio maana we choose to marry mid girls with respect, hawa classy ladies tunatumia kama Path.
MISIMBO MUHIMU YA SIMU UNAYOPASWA KUJUA(USSD/MMI CODES)
UZI 🧵RT
Ktk ulimwengu wa mawasiliano,kutumia SIM ya mkonon kwa ufanisi kunahitaj zaid ya kujua kupiga na kupokea sim
Makala hii itakufundisha baadhi ya misimbo muhimu ya SIM ambay unaweza kukurahisishia Maisha yak kila siku
SIKU NZURI KAZINI😇
Kwenye kila shughuli mtu yeyote huwa ana siku moja nzuri ambayo huikumbuka na kuiona ni ya kipekee.
Ndivyo ilivyokuwa kwangu siku moja nikiwa nimekwisha pakia mzigo wangu wa ice cream 90 ofisi kuu Kisasa,Dodoma nikasali na kuweka begi mgongoni tayari kuondoka
POTEA KWA MIEZI 6 NA URUDI UKIWA ASIYEWEZEKANA👑
- Lengo langu kila mwana lazima ashinde hata kama tunakimbia mbio tofauti, ili iwafikie wengi zaidi usisahau ku;
Comments, like & Repost
UZI 🧵