@privaldinho Umeonyesha udhaifu wa kiwango cha juu mno, inamaana kufungwa kwa @Yanga1935 kunapaswa kuzuia Viongozi wa @azamfc wasiwe na Furaha, yaani umeanza kujihisi mnahaki mpaka na Hisia za watu wengine??!!
Hiding pain under a smile is not easy. It can be one of the hardest things to do. You do it when you care about others more than you do for yourself. But remember, a smile can hide so much.. fear, pain, sadness, tears. But they reflect one main thing. Strength.
Taarifa ya Awali: Kuhusu Majeruhi Mkapa Stadium DSM. Hadi sasa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temeke imepokea Majeruhi 30 ambapo 1 amefariki (Mwanaume mwenye umri wa takribani miaka 40. Majeruhi wengi wanaendelea vizuri wana majereha madogomadogo, wanaendelea na vipimo. Aidha timu kutoka Ofisi ya Mganga Mkuu wa Mkoa wa DSM ipo uwanjani, inafuatilia kwa karibu kuangalia kama kuna majeruhi wengine.
Ukitazama fight ya Emmanuel Mwakyembe Vs Allan Kamote. Pamoja na fight ya Haidary Mjanjo Vs Mchanja unagundua sasa ni wakati sahihi kwa Serikali na wadhamini wengi zaid kuwekeza kwenye Boxing Vipaji tunavyo #VitasaNight
Nauza Eneo Langu lipo Mwasonga
Mwisho Kigamboni unpita Dar Zoo kwa mbele kidogo, eneo lipo kilometer moja karibu na Barabara kubwa ya kwenda Kimbiji kiwanda cha Nyati Cement, Umeme, Maji yapo Bei Million 65 Maelewano zaidi Njoo Dm Au Whatsapp 0692366713