@privaldinho Kwanza ni FVS na sio vfs,pili hairudiwi kwaajili ya mashabiki,ila ni kwaajili ya waamuzi,sasa kama waamuzi wameridhika kwa muono mmoja unataka irudiwe mara nyingi ili kumridhisha nani
@BillyTronix1 Nilikula mmoja ,eti akasema hadhani kama nina enjoy kama anavyo anjoy yeye,hivyo niseme nataka afanye nini ili nifarahie kama anavyofurahia yeye๐ข