@_zack255@NNgabu_@Mwinshehe07@IAMartin_ Huyo jamaa ukichukua nusu ya ubongo wake ukaweka kwenye upande mmoja wa mzani na upande mwingine waweke bongo za ukoo wenu wote bado upande wke utakuwa mzito kuliko wenu.
Kardinali Pengo alisoma Hapa Masomo yake ya Elimu ya Juu
Pontifical Lateran University, Hiki ndio Chuo alichosoma Polycarp Kardinali Pengo, wengi hupenda Kukiita "The Pope's University".
Kilianzishwa mwaka 1773 hivyo mpaka sasa kina umri wa Miaka 253.
Kijiografia kinapatikana Ndani ya Jiji la Roma nchini Italy, Lakini Mmiliki anabaki kuwa Ukulu Mtakatifu (Holy See) nchini Vatican.
Chuo Hiki kwa sasa kina kitengo/Taasisi maalumu ya Masomo kuhusu Ndoa na Familia inaitwa "Pontifical John Paul II INSTITUTE FOR STUDIES ON MARRIAGE AND FAMILY"
Taasisi hiyo ina Kampasi 13 Dunia nzima, Africa ipo Moja inapatikana nchini Benin.
Kardinali Pengo alipata Doctorate hapa Mwaka 1977 ya Moral Theology.