South Africa Oktoba 9, 2021: Timu ya Taifa ya Wanawake @twigastars imeibuka mabingwa COSAFA Women’s Championship 2021 @COSAFAMEDIA kwa kuichapa Malawi 1 - 0 katika mechi ya fainali iliyopigwa huko Nelson Mandela stadium. @SuluhuSamia#WanawakeWanaweza Una neno kwao.?
Waandishi wa habari wanawake wamejitahidi kuonesha uwezo mkubwa wanapopewa vipindi, Ni jukumu la wahariri na waandaa vipindi kutowawekea vikwazo
#WomenInNewsroomTz
Upo umuhimu wa kuwashirikisha wanaume katika mchakato wa kuwajengea uwezo wanawake kwa sababu husaidia watendaji na jamii kuelewa kwa namna gani makundi ya kijinsia yanaweza kufanya majukumu tofauti kwa kushirikiana ili kufikia malengo tarajiwa. #ElimikaWikiendi#ZuiaUkatili
Kuna waandishi wanawake ambao wanaelimu za juu katika fani mbalimbali, ni vema watumie nafasi hiyo kujikita katika uandishi wa habari za uchumi na jamii ili kujenga uchumi imara na kuleta maendeleo.
#Womeninnewsroomtz
Makaburi 79 ya mtaa wa Chinyoyo kilimani Dodoma yamefukuliwa na kuzikwa eneo maalumu mtaa huobili kupisha ujenzi wa Reli ya mwendokasi ambayo itapita maeneo hayo ~ Na mtangazaji wako @JacklineVictor5 wa #MaishaFm 1010.1fm Dodoma
#WomenInNewsroomTz
Ipo dhana ya kwamba urushaji wa vipindi vya redio au TV unaendana na jinsia ya waandaaji wa vipindi hivyo! Je kuna haja ya kuendelea na mtazamo huu?
#womeninnewsroomtz