@kigogo2014 Yaani usafiri wa anga ni ghali mno hususani hizi ndege za atcl, jaama yangu Jana ameshindwa kwenda mwanza na ndege shauri ya nauli kuwa juu 400,000/= ilimbidi apande basi ili asevu kwa ajili ya malazi.. Dhaaa Tanzania ๐น๐ฟ ya uwekezaji umetoweka ghafla, 28/10/2020 Kuna Jambo letu.!
@EzekielWenje Mungu awalinde sana, Kama kwenye mti mbichi unafanyiwa hivi je mti mkavu itakuaje..!? Tafakuru ya Babu, wananchi tumeanza kuisoma namba mno
Kama Ndugu #MazruiNasoro anashikiliwa kwa kosa la kusimamia kituo cha cha tallying, ni kwanini @hpolepole na Bashiru wapo uraiani?
Wao pia walikuwa na kituo cha tallying na walikizindua rasmi bila kificho.
Double standard za namna hii @DrHmwinyi anahaha kusaka maridhiano ya nn?
@habibaommary @kigogo2014 Ndio tuanze sasa kabla biden ajaingia madarakani, ili aweze kufuatilia kwa ukaribu swala nzima la unyanyasaji nchini Tanzania
Wasudan waliburuzwa na Dikteta Omar al-Bashir kwa miaka 30, lakini Des 18, 2018 walienda barabarani baada ya bei ya mkate kupanda. al-Bashir akaondoshwa kwa People's Power iliyoongozwa na binti wa miaka 21, Alaa Salah, mwanafunzi wa chuo ambaye hata sio Mwanasiasa.
Cc @zittokabwe
@jjmnyika@Lucy43067239@DrCyrilo@AnethStanley@ChademaTz@TumeUchaguziTZ@bunge_tz 2 Timotheo 3:9
[9]Lakini hawataendelea sana; maana upumbavu wao utakuwa dhahiri kwa watu wote, kama vile na upumbavu wa hao ulivyokuwa dhahiri.
....(mikono yenu itiwe nguvu msiwe vigeugeu. Ili mbingu zitoe hukumu ya haki kwa wadhalimu wote,, kwa wati uliomriwa.
@jjmnyika@Lucy43067239@DrCyrilo@AnethStanley@ChademaTz@TumeUchaguziTZ@bunge_tz Katibu Mkuu jitahidini kulifanyia kazi hilo jambo, wao walikuwa wamedhamiria kuua upinzani. Sasa wamelikoroga, wanaanza kuweweseka. Make sure msipeleke majina, tunawanyooshe hawa madhalimu. Na kama yule dada wa Nkasi, anazidi kukomaa mtimueni asituletee shobo
Here is a victim of state sponsored election violence in #Zanzibar recounting how she was beaten and detained by security forces twice and third time, citizens hid her!
cc @IntlCrimCourt you should slowly start making your way to #Tanzania - plenty of witnesses and evidence!