Wakati mwengine shida, majanga, matatizo, changamoto za kimaisha unazopitia huenda ikawa ni BARAKA zilizojificha, ili zidhihirike ni suala la muda hivyo futa machozi rudisha tabasamu kisha endelea kupambana na kusubiri.✍🏽
@bbcswahili Niko nje ya TZ leo ni siku ya 3 sijui familia yangu kiujumla wazazi, mke na watt wangu wanaendeleaje hii ni kwa sababu ya kutopatikana kwa huduma ya mtandao, kwakweli naumia sana MUNGU IBARIKI TANZANIA💪🏽🫡
@SuluhuSamia Shkamoo mh! na sisi wengine watt wa kimaskini tupo ughaibuni tunapambana kwakweli ni vile hatuna jinsi kiukweli tunamiss nyumbani familia wazazi tunaomba fursa ziwe za kutosha turudi tuje tufie nyumbani sio turud nyumbani tukiwa cargo(Mungu atuepushie).
@TweveDevota@Dr_DGwajima@RebecaGyumi@CarolNdosi Huyo mama anatengeneza rais mwanamke ajae acheni kutaka kuharibu ndoto za huyo binti, hyo ni adhabu stahiki kwa kosa alilolifanya hakuna anaelijua humu X na hyo nyumba ni uswahili mtupu pengine wamerekod ili tu kumkomoa huyo mama, lakini hana baya yupo kumuweka sawa binti yake.