Maandamano yanayoshika Kasi kwa sasa nchi nzima ni maandamano ya Tarehe 7.7.2026 ambapo hivi sasa vipeperushi vinasambazwa kwa kasi nchi nzima.
Ujumbe uliopo kwenye vipeperushi hivyo ni madai ya Katiba Mpya, Mateka wote waachiliwe, Kupinga kupanda kwa gharama za maisha.
Nimechoka na kuona ukatili kila siku! Hivi ina maana WOOOOOOTE mliopo kwenye mfumo mnaona hii ni sawa? Mtu anatekwa alafu mwili wake unakutwa hivi? Kweki? Huku polisi wakiendelea kuteka!
Tumetoka kuona MAELFU wa ndugu zetu wameuwawa kikatili na miili yao kuachwa barabarani na baadaye kusombwa na kutupwa kama takataka! Nyie kimyaaa
Nyie ni binadamu? Hamjisikii hata kidogo vibaya?
Nyie ni mashetani WOTE! 🚮mi hata huyo @nchimbie wengine mnamfagilia nasema ni walewale! Kwani sisi wengine tulishindwa nini kukaa kimya ili maisha yetu yaende? Tulishindwa kukaa kimya kwa sababu ya UTU! Sasa mi nawaona ninyi wote mlioufyata wasaliti!
Mmekaa kimya ili uovu utawale - basi ninyi ni sehemu ya uovu!
#ChangeTanzania
Waujaji wa Oktoba 29, 2025 hawa hapa sura zao zinaonekana tena very clear.
Hawa watu wameuwa maelefu ya ndugu zetu walidhani hawatatambulika milele sasa tumeshawajua kwa sura bado majina.
Kama umemtambua yoyote kati ya hawa naomba taarifa zake DM.
Hili Bango lisambae sana!! AFCON ikifanyika TANZANIA mafisadi watapiga hela zaidi ya ile iliyowekezwa kwenye ujenzi wa uwanja! #MaandamanokuelekeaAFCON2027
#BREAKİNGNEWS 🚨🔥
Over 400 small-scale miners are feared dead after a massive collapse at Msasa Mine in Geita! This is a national tragedy!
Instead of rushing rescue efforts, Geita Regional Commissioner Martin Shigela is busy bribing journalists to keep quiet.
@SuluhuSamia dictatorship government, what the hell are you doing? You’re more concerned with hiding the deaths of poor Tanzanians than saving lives! This is criminal negligence and corruption at its worst!.
Geita is bleeding! The Suluhu regime is sacrificing its own people for cheap mining interests. Shame on you!
#PrayForGeita #GeitaMassacre #SuluhuGovernmentFail
Kijana umemaliza diploma yako ya DIT hapo na umegoma kurudi kwenu Njombe umeamua ubanane na Dada ako kwa Shemeji yako
Amka umnyooshee nguo mume wenu aende kuwatafutia ugali
Mlivyoua vijana wenzetu 29/10/2025.
Mlishangilia na kusema uchaguzi ulikuwa hutmru na haki, na hakukua na dosari wala vurugu.
Mkaenda mbali mkapongezana kwa kuua na kunyima ndugu jamaa na marafiki miili ya watoto wao kwenda kuwazika.
Alafu mnataka tuwaomboleze mkifa??
Big no.
Simama kidogo usiscroll. ⚠️🚨
Huyu ni Adam Nsekule.Tangu 2018 anapambana na matokeo ya spinal cord injury kila siku kwake ni vita ya kuishi. 💔😔. Hii si huruma ya maneno anahitaji msaada HALISI. 🙏💸. Kiasi kidogo chako kinaweza kubadilisha siku yake leo. 🌍❤️. Ukiwa ndani au nje ya nchi unaweza kumtumia mchango wako. 🌐🤲. Ukishindwa kuchangia SHARE hii ifike kwa atakayesaidia. 🔁📢
Usipite kimya. Unaweza kuwa sababu ya yeye kuendelea kuishi. 💪❤️
📞 0760749231 (M-Pesa –Adam Nsekule
📲💰🏦 CRDB: 0152709244900 -Adam Nsekule
——————————————————————————-
Stop scrolling for a moment. ⚠️🚨
This is Adam Nsekule.Since 2018, he has been living with the effects of a spinal cord injury every single day is a fight to survive. 💔😔 This is not about sympathy he needs REAL help. 🙏💸Even a small contribution from you can change his day today. 🌍❤️. Whether you are inside or outside the country you can send your support. 🌐🤲 If you can’t donate please SHARE this so it reaches someone who can help. 🔁📢. Don’t scroll past. You could be the reason he keeps living. 💪❤️
📞 +255 760 749 231 (M-Pesa - Adam Nsekule📲💰🏦 CRDB: 0152709244900-Adam Nsekule
@MalisaGJ_@Dr_DGwajima@babalao__@mrishogambo@TuliaAckson@SuluhuSamia@WilliamsRuto@vonderleyen@zayedbakhresa@EceJay@FKihamu@HildaNewton21@Sativa255@Thereal_taivina@MkulimaKante@gloria_kimani@LarryMadowo@KennedyWandera_@AAgather@Liberatus80@MarkMwandosya@kigogo2014@MarekaMalili@MariaSTsehai@jmkikwete@mwigulunchemba1@nchimbie@KagutaMuseveni@fbuyobe
#doktamathew
Fungua Stationary karibu na Chuo,
Fungua Carwash karibu na Barbershop,
Fungua mgahawa karibu na Soko,
Fungua Duka la nguo karibu na stand,
Fungua mdomo ukiwa na uhakika wa unachotaka kuongea.
Mashujaa wa #MO29 hatuwezi kuwasahau kwa CASHOUT YA 23M Ambayo hata tungepata usingepewa. Leo focus ni moja tuu kuwakumbuka mashujaa wetu wa #MO29
Tamaa zako za hela za watu pelekea maskini wenzio.
Unatokea bongo?
Haya kasalimie wakina Zuchu.
#MO29
Mbunge
anakunja mshahara plus posho,
milio kama 12-18 💴 hivi
kila mwisho wa mwezi!!
Tufanye 12M kadirio la chini!!
So kwa mwaka anakunja 144M.
Kwa term moko (5yrs) muhula mmoja
anakunja 720M (Bilioni kasorobo)
Whaaaaaao!!
Ukiwa mbunge kwa miaka 30 unatengeneza 4B+
Kumbuka hapo kuna mpiga kura wake ana umri wa miaka 35 na hajawahi kushika hata laki tatu tu ya pamoja KMMK Walahi🥹
(I’m sorry)
Again, mpiga kura huyo hana maji, hana umeme, na akiumwa hana bima ya afya!!
Mbunge huyo ana kila kitu sio shida zake!!
Na kwa kipindi chote hicho anaweza asiwe tu mbunge, akapewa na uwaziri……
means mshahara uta-double!!
Hapo sio tena 12M monthly
So kwa miaka 30 mtu anatengeneza 6B plus!! Mixer fursa shindili, yeye na familia yake na ukoo ikimpendeza!!
Lakini jimboni kwake ukifika hakuna chochote kilichobadilika, shida,ufukara,umasikini,changamoto milioni!!
Na hii ndio legacy wanayoipambania, not otherwise!!
Ndio maana mtu huyu anakuwa tayari kukupoteza ikibidi kukuua
ili ku-secure bag lake 💰