Habari njema kwa MASHABIKI wangu wa ukweli wote na Kwa wale wote wanaoniulizia watapata wapi Nyimbo zangu za ZAMANI na MABOMU ninayotegemea kuyaachia hivi karibuni, Mtazipata @boomplaymusic_tz na pia nimeshakuwekea kwenye Youtube channel yangu 'PROFESSOR JAY'
#Support your OWN👑
#BABA ya @stamina na @ProfessorJayTz angalau imeturudisha kwenye zama za ngoma zenye ujumbe mkubwa kwa jamii.
Japo wengi wanaamini Sasa hivi mangoma ni kucheza tu Ila bado Kuna jamii ipo ambayo inahitaji ngoma zenye ujumbe mkubwa Kama hii ya #BABA.
ASANTENI sana Mashabiki na Wadau wote, Ni Rasmi Sasa tumekuwa Number Moja kwenye TRENDING ya YOUTUBE, Kamwe Hili lisingewezekana bila Nyinyi tunaomba sana muendelee kuisupport kwenye YouTube chanel ya STAMINA SHORWEBWENZI
PAMOJA WE MADE IT💣💣🔥
MUZIKI Mzuri unaongea💪🏻💪🏻
#BABA
Asanteni sana wadau wote mliosubscribe Channel yangu ya YouTube, tumefanikiwa kupata SILVER PLACK yetu baada ya kufikisha subsribers 100,000, Tuendelee kusubscribe Channel yangu PROFESSOR JAY Maana huu sasa ni wakati wa BOMU baada ya BOMU,
BLESS UP🙏🏻
#BABA
Mbunge Nje ya BUNGE.
NENO moja kwa MZEE BABA...
Kitaani kwenu wameipokeaje #BABA ??
Bado tupo NAMBA moja kwenye TRENDING uko YouTube, Shukrani sana kwa wadau wote endeleeni kufurahia MUZIKI mzuri wenye Mafunzo Makubwa🙏🏻🙏🏻
SHULE YA BURE.
Sio lazima kila siku uimbe MATUSI na Mambo ya kitandani ili Wimbo wako uwe mkubwa na upendwe, Bali unaweza kuimba wimbo wenye mafunzo mema kwa jamii na Wadau wakakushika mkono kwa kiwango cha juu kabisa, Kwa Pamoja tunaweza tukakiokoa KIZAZI hiki🙏🏻🙏🏻
#BABA
Jana Nimeitazama Na Kuisikiliza Hii Nyimbo Na Kuirudia
Mara 84!!
Picha Linaanza Tu Video Queen #MamaKanumba
Kushoto Kasimama #ProfesaJay
Kulia Yuko My Main Man #One6
Katikati #Stamina
SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL YA #StaminaShorwebwenzi Now.
Tazama full clip ya wimbo wangu huu "Stop Corona" kupitia youtube kwa link hii. Unaweza kushow love na support yako kwa kuretweet pia kwa wana.🙏🙏🙏🙏 https://t.co/rhPR5QFJip
Karibu kutazama wimbo wangu, #NASKIA SAUTI.
#InspirationSong
Produced by Punch K Records
Video Directed by Thuma & Chichi.
Ucheki full clip Youtube pia naomba u subscribe
https://t.co/sC1Pr0FgSg
Hii ni moja ya ngoma yangu inayokwenda kwa jina la Imani unaweza kuitazama kwa urefu kwenye youtube account yangu ya "One six". pia unaweza kusubscribe ili uwe wa kwanza kupata kila video yangu mpya.