Eneo la pili Mama @SuluhuSamia ni MALEZI HAFIFU kwa watoto ktk jamii zetu, hili eneo ni la muhimu kwani ndiko inakotengenezwa raia jarabati wajao (future competent citizen) na viongozi wazuri wa kesho.
Eneo la pili ni MALEZI HAFIFU kwa watoto ktk jamii zetu, hili eneo ni la muhimu kwani ndiko inakotengenezwa raia jarabati wajao (future competent citizen) na viongozi wazuri wa kesho.
Mhe Rais @SuluhuSamia pole sana na majukumu. Unafanya kazi kubwa ya kujenga nchi yetu kwa kasi kubwa mno. Mungu aendelee kukulinda na kukupa afya njema na hekima zaidi ktk kuitumikia nchi yetu.
Pongezi nyingi kwa PWC kwa kufanikisha Mkutano mkubwa wenye mwitikio wa aina yake wadau zaidi ya 200 kuweza kuhudhiria ktk ofisi iliyopo Kata ya Ketumbeine wilayani Longido, ahaanteni kwa mwaliko wa kushiriki binafsi nimejifunza mengi ambayo yatatufaa ktk mashirika yetu
Ahsanteni sana RAS Manyara Mama Carolina Mthapula na Mkurugenzi Wa Halamshauri ya Mji Babati Bi Anna Fisoo kushiriki ktk siku ya shirika letu LA COSITA - Miaka 12 ya utekelezaji Wa Miradi ya Kijamii, tutaenzi upendo huo daima
@SuluhuSamia Ni matamanio yangu ukipata kutulia na ikikupendeza na Mwenyezi Mungu akipenda nitafurahi kuongea nawe changamoto zangu binafsi nikiwa na imani wewe ndiwe msaada wangu, nambangu 0784649025/0621754783, email: [email protected]; ahsante sana na Mungu akubariki.
@SuluhuSamia Mhe Rais wangu Mimi naitwa Mr Patrice Deemay Gwasma nafanya kazi na Asasi inayoitwa COSITA iliyoko hapa Babati Mkoa Wa Manyara, nikiwa na historia yako ambayo siku za nyuma uliwahi kuelezea mahali kuwa wewe ni mwanaSekta ya NGO lakini Leo ni Rais wetu
Ni matamanio yangu ukipata kutulia na ikikupendeza na Mwenyezi Mungu akipenda nitafurahi kuongea nawe changamoto zangu binafsi nikiwa na imani wewe ndiwe msaada wangu, nambangu 0784649025/0621754783, email: [email protected]; ahsante sana na Mungu akubariki.
@SuluhuSamia Mhe Rais shikamoo. Nakusalimu kwa jina LA Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania...Kazi iendelee.. Mhe Rais ninakupongeza kwa kazi kubwa unayofanya kusukuma gurudumunla maendeleo ya nchi yetu, pole kwa changamoto ya janga LA corona virus, Mungu atuvushe salama.
Mhe Rais wangu Mimi naitwa Mr Patrice Deemay Gwasma nafanya kazi na Asasi inayoitwa COSITA iliyoko hapa Babati Mkoa Wa Manyara, nikiwa na historia yako ambayo siku za nyuma uliwahi kuelezea mahali kuwa wewe ni mwanaSekta ya NGO lakini Leo ni Rais wetu