@AbdillahIb12282@fbuyobe Hii concept ya tax holiday watu mnaitumia vibaya sana, ni kheri ungeitoa hapo maana sio sababu ya kubadili jina. Ingekuwa hivyo kila kampuni ingekuwa inabadili jina kupata hicho unachokiita tax holiday.
@IamMambosasa@julip202 Unawazo ya kizamani sana wakati tunakua. Nenda kajifunze kuhusu benki kuu ta duniana na sababu ya kuwepo kwake, kisha unaweza pata uwelewa na ukafuta tweet yako.
@TrizzyOn@swahilitimes@__IamJoel@bullychandy Kabisa, wanaaibisha taalum, na huyu muandishi anaweza pelekwa mahakamini na akapata adhabu kali tu. Maana ni kosa kisheria kuajili mtu kwa nafasi ya mhasibu au kumuita mhasibu kama hajasajiri na bodi ya taifa ya wahasibu na wakaguzi.
@head_rc@swahilitimes Yap, hata serikali sasa imeanza kutofautisha kati ya mhasibu na afisa mahesabu, hata uwe na masters ya accountancy kama huna CPA wewe ni afisa mahesabu tu. Mfano mzuri ni hizo nafasi mbili accountant na account officer (afisa mahesabu). So fani ya uhasibu inataka CPA tu.
@swahilitimes Sema mnatumia vibaya sana neno mhasibu. Mtu yeyote ambae hajasajiriwa na bodi ya wahasibu na wakaguzi ya Tanzania kisheria sio mhasibu, bila kuwa CPA(T) unakuwa afisa mahesabu. S.29 & S.30 of the Accountants and Auditors (Registration) Act, CAP 286 R.E 2002.
@swahilitimes It is an offence to employ
or continue to employ and/or call any person who is not a Certified Public Accountant in Public Practice as an auditor or any person who is not a Certified Public Accountant or a Graduate Accountant as an Accountant
as per S.29 & S.30 of the…
@iam_JacksonJ@SafariMlevi Sema unashangaa vitu vidogo sana, sofa ya 5m hata kwa mtu anaingiza 10m kwa mwezi anaweza nunua, 15m-20m kuweka kwenye sofa sio kitu cha ajabu hata kidogo. Unique furniture walikuwa wanauza set hadi 50m, famous furniture walikuwa wanauza lazy boy hadi 30m+
@JamiiForums S.29 & S.30 ya Accountants and Auditors (Registration) Act, CAP 286 R.E 2002, inamtambua mhasibu au mkaguzi wa mehesabu ni yule mwenye shahada ya juu ya uhasibu(CPA). Huyo jamaa sio mhasibu ni afisa mahesabu, mkiwa mnaandika habari muwe mnajiridhisha kabla ya kuiweka kwa uma.