@omaryMkiza akili ndogo, nini kilipelekea jeshi kuingia mtaani? Hao wanaomiliki jeshi walitenda haki kwa waliokua wananung'unika? Acha kutumia vibaya kipaza sauti.
@fatma_karume Don't trust activists and politicians. Naendelea kujifunza! Activist kama hakupendi yuko tayari kustoop too low mpaka kwenye ajenda za hovyo za udini. Anaignore core agenda at hand. Ubatili mtupu!