@MariaSarungiFan@MariaSTsehai Udadavuaji wa kinaunahitajika kuzingatia hasara ya mahesabu kama CAG akivyoonyesha na kuzingatia socioeconomic costs and benefits na pia kubuni option zilizopo pamoja na PPP na ushirikiano na kampuni zingine za ndege.
@MariaSTsehai@SuluhuSamia Sawa kabisa. Pia kuna ripoti ya PSRPIII ya 2018. Iko Utumishi kwa hiyo si ya kutafuta. Ni mahali pazuri pa kuanzia. Naamini nia ipo, sababu ipo na uweo upo.
@lifeofmshaba Rais Samia amedhirisha utendaji kazi tofauti.
1.Amesisitiza umuhimu wa tutazama upya mifumo.
2. Amesoma vizuri ripoti iliyowasilishwa kwake salama.
3. Ameshauri kesi za kubambikiwa au ambazo hazima mashiko kisheria zifutwe.
4. Amechukua hatua kutokana na ripoti ya CAG.
@fatma_karume Tunasikitika kupokea taarifa ya kuondokewa na Rais Dr. John Pombe Magufuli. Mungu ampokee mahali pema peponi. Pole sana kwa familia yake na watanzania wote. Mungu aipitisha Tanzania salama katika kipindi cha mpito watanzania waimarishe mazuri anayotuachia. RIP Magufuli
@Saad37648015@kigogo2014 Tanzania ikirudisha utamaduni wake wa uhuru wa vyombo vya habari Kigogo atakosa kazi. Lakini kwa hali ilivyo watu watageukia vyanzo mbadala vya habari.