@EsirEid Nauliza tangu vita ianze wameua kiongozi gani wa Irani?? Ukiacha lile shambulio la ghaflani kama mtu unatembea zako ukala ngumi ya kisogo Unaanguka unakufa walioko pembeni yako wanaanza kujibu mapigo mpiga ngumi anakimbia, anajificha anaomba msaada,hiko ndio kinachoendelea