Take this,
Riziki anatoa mungu lakini mara nyingi akupi moja kwa moja ila anakupa kupitia watu, hivyo basi jitahidi kuongea na watu vizuri maana hujui nani ndio njia ya kupitia Riziki yako ili ikufikie .
Asante wote ambao Riziki zangu zilipita mikononi mwenu.
#PNP
“Unakuta mtu mmoja kwa mwaka mzima peke yake ametumia kuni au mkaa ambayo imekatwa zaidi ya miti 3,000 lakini hapandi mti wowote, Je anaelewa madhara yake? Hili Ni tatizo”
Frank Luvanda kutoka SUHOLE foundation Morogoro #ClimateSymposium