Miaka 10 iliyopita, @bunge_tz lilitunga sheria No. 12 ya Mwaka 2015 inayoitwa 'The National Youth Council Act'.
Hatua hii inamaanisha kuwa, nchi ilishajiridhisha bila mashaka kuhusu umuhimu wa kuwa na Baraza la Taifa la Vijana. Kutokuwepo, kunatunyima fursa.
#ElimikaWikiendi
Kushiriki mkutano huu unaoleta vijana wa @jumuiya Pamoja fatilia kupitia Tovuti hii https://t.co/AIBpXVKEJH fatilia kurasa za X @OneYoungAfrica#ElimikaWikiendi
Ndani ya @jumuiya kila Mwaka vijana viongozi kutoka sector zote ndani ya nchi wanachama wanakutana Mara nyingi huwa Arusha kupitia mkutano wa @OneYoungAfrica hapa utapata kujua na kujifunza kutok kwa vijana viongozi wengine
#ElimikaWikiendi
Pia ndani ya Jumuiya kuna Huduma za Kijamii – Programu za maendeleo ya vijana, sera, na uongozi wa jamii jumuiya unafanya hayo kupitia Bunge la vijana na East Africa Youth Ambassador kupitia Tovuti ya @jumuiya https://t.co/6NCRxS9aKq utapata taarifa hii
Biashara na Ujasiriamali – Biashara ndogo, biashara za kijamii, na masoko ya ndani na nje ya @jumuiya kuna chombo kinaitwa @EABCjumuiya hapa Maswala yote ya uwekezaji na Biashara ndani Ya jumuiya yanapatiwa ufumbuzi
#ElimikaWikiendi
Kama Kijana unakosa taarifa za kimaendeleo au una Taasisi inayohudumia vijana na jamii na unahitaji kufikia uwanda wa @jumuiya fursa hii unaweza kupata kupita – @EAYNOfficial na EACSOF
#ElimikaWikiendi
Katika @jumuiya kuna fursa ya kuwekeza katika Afya na Ustawi wa Jamii – Ujasiriamali katika sekta ya afya, huduma za vijana, na afya ya akili hawa katika mipaka yetu na nchi wanachama,unaweza kujua zaidi kwa kupitia @eannaso@IriseEastAfrica na zingine .
#ElimikaWikiendi
Katika @jumuiya kuna Fursa ya Utalii na Ukarimu – Kuanzisha biashara za utalii, hoteli, na huduma za wageni, lakini pia kutalii ktk punguzo la bei kwa wanaafrica mashariki.
#ElimikaWikiendi
Thanks So Much to this Wonderful Team from @PlanMEESA@PlanKenya For The Greatest Partnership with @jumuiya and @EAYNOfficial
Your Efforts towards empowering the #EAC Citizens is Immensely appreciated.
📌 𝐶𝑜𝑚𝑖𝑛𝑔 𝑢𝑝…
💫 𝟕𝐓𝐇 𝐀𝐍𝐍𝐔𝐀𝐋 𝐄𝐀𝐂 𝐒𝐆 𝐅𝐎𝐑𝐔𝐌
📍 Nairobi, Kenya
🗓️ 10th - 11th December, 2024.
Your voice matters! Together, we can address challenges & unlock opportunities for all East Africans!
@SGNduva@EA_Bunge@EACJCourt