Ni fahari kuona shule zetu za kata nazo 'zinashindana' na hizi za 'mamilioni' kupeleka watoto wengi zaidi chuo kikuu, hongera kwa waalimu, wazazi na wanafunzi wenyewe waliofanikisha hili, japo shule nyingi hazina mazingira mazuri/wezeshi lakini watoto wetu wanapambana! Bravo