👉🏽Niandikie kwa kifupi (isizidi maneno 300 au aya 2) unataka kuleta mabadiliko gani ktk jamii. Uwe mbunifu!
👉🏽Kama ninaku follow nitumie DM
👉🏽Kama sijaku-follow andika jina lako, chama unachowakilisha na jimbo - nitahakiki
Mwisho kupokea maombi-July 17
Kijana = miaka 18 - 35 TU
Mwaka huu nimefurahi sana kuona vijana wengi wamejitokeza kugombea nafasi mbalimbali.
Najitolea kama mtaalam wa mawasiliano kutoa mafunzo na mentorship bure ya MAWASILIANO (communication) kwa wagombea vijana wachache watakaoweza kunishawishi kwa nini niwachague
Maelezo zaidi 👇🏽
The Fight for Democracy and Public Health in Tanzania, Zambia, and Zimbabwe on Friday, July 17th at 9 am EDT (3 pm CAT/ 4 pm EAT). This online event will be moderated by Salem Solomon, a multimedia reporter for VOA's Africa Division >>2:30 pm Zambia/Zim
3:30 pm Tanzania
Mapambano ya kutafuta mafanikio ya ziada [utajiri, madaraka na umaarufu] yasikupoteze ukasahau mafanikio muhimu zaidi katika maisha: amani na utulivu wa moyo wako; mahusiano mema na watu; maelewano na familia; kuaminika na shukrani za watu unaogusa maisha yao!
#ElimikaWikiendi
“Joseph Kusaga alitaka uhuru zaidi wa redio inayopiga kila aina ya muziki, aliniita nifundishe watu wake. Tulifundisha watangazaji wa Clouds muda mrefu kabla Redio haijaanza, kama mwaka mzima” - @TajiLiundi#Miaka20YaBongoflava
“Put that body on me,
Sisikii sioni,
Homa hii siponi,
When you put that body on me”
Body on Me ft @johmakinitz out kwenye music stores link 👇🏾🌼
https://t.co/xtfGei9KNw
#bodyonme#RebirthEP#gracematata#newmusic
INTERVIEW SKILLS (KIPINDI CHA UCHAGUZI).
Kwetu Wanahabari kipindi hiki cha Uchaguzi ni vyema kuzingatia haya Kwenye Interview (Mahojiano).
Haya ni machache ya Kuzingatia (Niyajuayo)
1- Kuwa na Vifaa( Camera,Recorder,Pen, Notebook nk) na viwe sawa kwa ajili ya kazi.