@30MinMinistries@DRaner1791 Yet you dont understand? ISIS are the one released the propaganda video.
This incident is recognized by the Catholic church it involved the Coptic Christians.
@DanielRegha There shoud not be the church building also as you say since even the building would collapse. No one can predict where death should come from.
@EduTalkTz Kila unachokiaona hapo kimetoka kwa Mungu. Kuna mwanadamu ametengeneza madini ambayo yanatumiwa na kamupuni hii katika kazi zake za teknolijia? Jibu hamna maarifa ni sehemu ndogo sana ya ukuu wa Mungu
Repost from Samson Charles
______
Kuna mwanafunzi amegongwa na gari maeneo ya Mikocheni kituo cha Clouds. Jina lake ni Esther Nassake kulingana na taarifa za daftari lake. Hata hivyo hajaandika jina la shule. Gari iliyomgonga haikusimama, lakini bodaboda wameikimbiza sina hakika kama wameipata.
Mwanafunzi amejeruhiwa vibaya na amepoteza fahamu. Amechukuliwa na wasamaria wema kakimbizwa hospitali ya Lugalo. Tafadhali sambaza taarifa hii ili kupata msaada wa ndugu zake maana yeye hajitambui.!