Kati ya mambo ninayoshukuru kwayo katika kipindi hiki cha kuomboleza kifo cha Mh. Mzee Mkapa, ni jinsi ambavyo TZ bado tuna kila sababu ya kujivunia umoja na mshikamano wetu. Mungu ailaze roho yake aonapo inafaa. Kwa waliobaki, kazi haijaisha, tusimame imara.
Vyombo vya habari ni vyombo vya mawasiliano vinavyolenga jamii kwa shabaha ya kuwapatia habari, tunashukuru sana kuona vyombo hivi vinakua mstari wa mbele katika kutoa taarifa za matukio muhimu yanayohusu haki za wasichana.
#NdoaZaUtotoni
"Dreams can come true, but there is a secret. They're realized through the magic of persistence, determination, commitment, passion, practice, focus and hard work. They happen a step at a time, manifested over years, not weeks." ~ Elbert Hubbard #Youcandoit
@Bigdady19157535@MagufuliJP Anayewaita wenzake wadudu anaonesha ni jinsi gani bado safari yake ya kufikia ukomavu wa kifikra ilivyo ndefu. Heshima na Utu ni haki ya kila na wajibu wa kila mtu kwa mwenzake.
"You cannot be safe or prosper at the expense of others. We need to think of the dignity & the interest of others, and this is something that the UN has given me" - Kofi Annan interviewed @UNGeneva, Sept 2015. Mr. Annan passed away on 18 August 2018. #YearInReview#InHisOwnWords
@fatma_karume Sad!!!. Sidhani lakini shangazi kama kuna mtoto au mtu anaweza kuzoea kufanyiwa ukatili. Ila kuna kuvumilia usimpe satisfaction huyo anayekukatili - you "tough it out" kwa lugha ya wenzetu.
Akatwa vidole na mume,
Rose Mgendi akiwa hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Mara alikolazwa baada ya kukatwa vidole viwili vya mkono wa kushoto na mume wake kutokana na mzozo wa wivu wa mapenzi kati yao.Picha na Beldina Nyakeke #ChangeTanzania
https://t.co/eVeZFHijjo