#Zambia President @EdgarCLungu has conceded in a letter sent to now president elect @HHichilema of @UPNDZM. Once again Zambia has shown the world the level of its democratic maturity. Peaceful transfer of power is happening for third time in history. Congratulations Zambians
Siamini kama Mathias Manga umefariki,nina huzuni kubwa, tuliongea na wewe siku sio nyingi na ulikuwa mwenye afya.Ulikuwa mtu mwema sana kwa watu wa rika na madaraja yote.Mungu ampe nguvu mke wako,watoto,ndugu na jamaa zote.
@umwalimu huu ni muongozo wa @WHO kwa mazishi ya wanaokufa kwa Ugonjwa wa Virusi vya Korona (UVIKO). Unaelekeza namna ya kuaga maiti na unaruhusu familia kuzika kwa usimamizi na tahadhari. Je, inawezekana kutoa mwongozo kama huu hapa kwetu ili tuwastiri ndugu zetu kwa heshima?
With social media enabling loud display of ostentatiousness, family fun and โhappinessโ, Christmas time is brutal for some by clarifying their loneliness and poor means. So, if youโre blessed, celebrate; but broadcast your blessings knowing thereโs a child sleeping hungry tonight
Serikali inasema Taarifa ya ajali walipata saa nane mchana, Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa ikakaa saa 11 jioni. Wameokoa mtu 1 tu. Watu wengi wamekufa kwa sababu ya uzembe wa Serikali. Mpaka dakika hii hakuna aliye wasilisha barua ya kujiuzulu. Rais @MagufuliJP amechoka hakika