Kama ambavyo kwa miaka yote zaidi ya 50 ambayo amekuwa akiishi kwenye Dunia yenye vingi vizuri na vibaya lakini yeye aliamua kutabasamu, alikuwa Baba, Babu, Kaka na rafiki bora kwa kila mtu na leo tumejumuika sote kushiriki ibada yake ya mwisho na kupumzishwa kwenye nyumba yake ya milele.
Captain, Babu G, Gardner ameenda.
#CaptainWaGemu