Jindae kutangazwa na konki huna mazinda/mtangazaji choko kazi Yako kuuza maniga/simu zangu hushiki ikiita unahisi mkuda anapiga/msiweze nyimbo za unju wekeni ile ya luda na jigga/
Katiba mpya ya @NikkiZohan
Shule wanazojenga watoto wao hawasomi,wakiugua wanalazwa hospital zamamtoni,na nabado kuwachagua hamkomi,Kwa huo ujinga umaskini na maradhi hamponi
#katibampya ya @NikkiZohan
@mshambuliaji dah timu zangu Arsenal na Astonvilla ingaaa mmojo ishatanguliwa kufungwa bao mmoja ila naamini timu zangu hizi leo zitashinda tu inasha Allah