Appreciation post: @tedcruz@SenatorShaheen@SecRubio@SenateForeign
THE PEOPLE OF TANZANIA THANK YOU!!
Also keep in mind that the entire Tanzanian parliament was not voted in by the people, they were all handpicked by the killer in chief!!!!! They do not speak for us or represent! THEY SPEAK FOR SAMIA SULUHU ONLY!!!
Please keep the pressure on the killlers!!!!!
βUdanganyifu mkubwa na hatari zaidi katika siasa ni kuamini kwamba kesho itaendelea kufanana na jana.β
Tawala nyingi huanguka si kwa sababu zilikuwa dhaifu, bali kwa sababu zililewa na mafanikio ya zamani. Zikaamini kwamba hofu ile ile, propaganda zile zile, mfumo ule ule, watu wale wale, na mbinu zile zile zilizowafanya watawale jana, vitaendelea kuwabeba milele.
Lakini historia haijawahi kuwa mwaminifu kwa watawala wanaokataa kusoma nyakati.
Wananchi hubadilika.
Vizazi hubadilika.
Hasira hubadilika.
Na hata ukimya wa wananchi hubadilika.
Kuna ukimya wa heshima.
Lakini pia kuna ukimya wa kuchoka.
Na viongozi wengi hushindwa kutofautisha hayo mawili.
Tatizo la madaraka ya muda mrefu ni kwamba hujenga udanganyifu wa kutokuguswa. Watu wanaanza kuamini kwamba taasisi ni mali yao, sheria ni silaha yao, na taifa litaendelea kuzunguka majina yao milele.
Lakini historia inaonyesha:
Hakuna dola iliyowahi kushinda vita dhidi ya ukweli kwa milele.
Siku zote tawala huanza kuanguka pale zinapoanza kuamini:
β’ hakuna mbadala,
β’ hakuna anayethubutu kusema,
β’ hakuna atakayewawajibisha,
β’ na hakuna kitakachobadilika.
Lakini dunia hubadilika ghafla.
Kilichokuwa nguvu jana kinaweza kuwa mzigo kesho.
Waliokuwa wanaogopa jana wanaweza kuwa wa kwanza kusema kesho.
Na waliokuwa wakisifiwa jana wanaweza kuachwa peke yao na mfumo walioujenga wenyewe.
Historia imejaa viongozi waliochelewa kuelewa kwamba wananchi wanaweza kunyamaza kwa mudaβ¦
lakini hawaachi kuona.β
@AnnaMwalong@420Cousin CCM hamna chakuwaminisha watu sasa ivi wakawaelewa, hata nyie mnaopambania chama sasa ivi sio kwauzalendo ni kwamasilahiyenu tu binafsi.
@TheEmpireReign3 @Sukayotz Simba inakikosi kipana tunawachezaji kama aina ya mpanzu wapo watatu. Ambao hata kama mpanzu hayupo wanaweza kuvaa viatu vyake. Hii ndio simba ya ubaya ubwela 2024/2025.