Wapi CAS wamesema Yanga imeshindwa kesi?Hii kesi bado mbichi kabisa ,Yanga walikosa hukumu kutoka TFF,wakawahi CAS ili kuwa ndani ya siku 21 wakafanikiwa,CAS wamejibu kuirudisha Yanga TFF wakiwa ndani ya muda,Yanga wanatuma kesi TFF ili warudi tena CAS kwa majibu yeyote ya TFF.
Mheshimiwa @HusseinBashe shikilia hapo hapo kwenye maamuzi ya Malawi na South Africa ....hawa majirani wanatuzoea kupitiliza sasa!! Hatuwezi ishi kinyonge aisee.
TFF walikuwa na ulazima gani wa kumfungia Ali Kamwe siku 3 kabla ya Kariakoo Derby? Kulikuwa na ulazima gani na haraka kiasi gani? Walishindwa kusubiri presha ya mechi ipite? Taasisi inatumia nguvu kubwa kupambana na Yanga. Viongozi wa mpira wetu na mahaba ya timu za Kariakoo. π
Na ule utaratibu wenu wa kuwalinda mawakala wenu wezi mbona hamuutolei taarifa?? Hadi leo wakala wenu ana pesa yangu mnamjua alipo lakini mmeshindwa kumwambia arudishe pesa yangu, polisi nao wanasema wao hawawezi fuatilia mtu ambaye Vodacom wanamjua alipo!
Kumsaidia wakala wao asipate usumbufu wa kutoka polisi. Ni kitendo tu cha kumfuata ama kumpigia simu na kumtaka arejeshe hizo pesa na endapo atakataa ama kuanza kuzungusha ndipo Voda wanaweza mshauri mteja aliyekosea muamala kwenda polisi. @VodacomTanzania Lindeni Mawakala wenu
aende polisi akakufungulie kesi ya wizi!! Huu ni utendaji wa hovyo kutoka @VodacomTanzania badala ya kumpigia ama kumfuata Wakala wao kwakua wana details zake za kila kitu na wanamhudumia Float za MPESA kila wiki na wanaenda pia physically bado hawaoni kwamba wanatakiwa ππ
Makolo wana wastani wa kusifia mchezaji kila baada ya miezi 2 halafu wanamtupa, hapa waliagiza Mutale wakaletewa Kitale. Deborah hata kwa mkopo hachezi KMC. Mukwala jitu refu π. Hamza wakasema anapaswa kuanza Stars. Kibu misimu 3 goli 1. Ahoua yupo? Mpanzu mechi 11+ kama Bambo.
Siamini kwamba mawakala wa @VodacomTanzania nao wanakua wezi!! Hili jambo ni rahisi kuamini kwa mteja wa Voda wa kawaida ila sio wakala!! Mtu anafanya miamala kila siku, nimezuia muamala dakika hiyo hiyo niliokosea, aliweza vipi kuitumia kama sio uzembe wenu??
@TheHustler0806 Ndugu mteja pole sana kwa changamoto ya muamala, tumepokea changamoto yako na tumefanikiwa kukutumia ujumbe inbox tafadhali rejea kwa msaada zaidi. Ahsante ^AM
@VodacomTanzania Mna huduma za wateja mbaya sana kuliko mitandao yote nchini, haiwezekani kwamba mimi mteja wenu natumia huduma zenu halafu nashindwa kuwafikia ili kuongea na mtoa huduma....upuuzi
Hivi @VodacomTanzania mko serious na huduma kwa wateja?? Yaani toka saa 3 chatbot lenu la X linaniambia linaniunganisha na mtoa huduma, nimeenda muda huu whatsapp chatbot lenu bado limenijibu hivyo hivyo!! Aiseee
@Octavianlasway Hii haiondoi ukweli kwamba jana alipuyanga kiwango kikubwa sana, hoja yake kubwa ilikua ni "Kwa mimi binafsi, Kwa mimi binafsi"ππππ
@Wakazi hizi video anazopost @babalevotz akiwa Instanbul Airport na bag lililopotea, haikufunzi kwamba mdomo wako unapaswa kufungwa kwenye baadhi ya mambo?? Haupatia aibu??