Read the comments here below this post to understand why I said the current tension in the country is concerning
This is now boiling over to acute and active hatred for a murderous regime! This is untenable!
@KennedyWandera_@ChangeTanzania Mmmmh sasa naelewa kwanini NIDA ilikubaliwa haraka sana kuondoa ukomo. Walijua kuwa kama kutakuwa na ku-renew Dani card, basi wengi hawataweza na itakuwa na madhara kwa chama tukufu.
@mdudenyagali@Wolfugang2@ayubu_madenge Sikujua kama @mdudenyagali na huku nako umeshehena hazina hii. Sasa naelewa kwanini siku zote unasimama na haki na huionei haya haki kukemea palipokosekana haki. Asante sana kwa maelezo yaliyonyooka.
@Jambotv_ Kweli waTZ tunachungwa kama mifugo tu. Hata kuingia mahakamani tunapigwa marufuku. Si anayeleta fujo akamatwe, lakini kuzuia watu wote siyo sawa. Wengine tuaingia mahakamani mara kwa mara kwa ajili ya kujifunza sheria.
@zittokabwe@MagabashuK79320@lifeofmshaba Kutoka Gumaz region liliko bwawa la GERD Ethiopia hadi border ya Kenya ni zaidi 1000km. Wamefanyeje wenzetu kusafirisha huo umeme kwa gharama ndogo hadi wauze nje?