Hii ni Vlog yangu ya kwanza kama STREET PHOTOGRAPHER.
Nilikutana na Bibi Visheti, nikampiga picha, hivyo nimemletea zawadi yake ya hard copy.
Matamanio yake katika biashara yake ni kuongeza bidhaa, gharama kama 25,000.
Tunaweza msaidia hata 50,000 !? Tuchange hata 200 200 tu.
Namtambulisha kwenu Trainer wetu wa Workshop zetu kwa siku zote mbili GURU @GillsaInt kuwa atafundisha--
MBINU ZA KUUZA UJUZI NA TALANTA YAKO KUPITIA MITANDAO YA KIJAMII.
Utapata nafasi ya kufanya majadiliano ya kina ili kuelewa zaidi.
#MonetizeYourTalent#GrowYourCareer
Namtambulisha kwenu Trainer wetu wa Workshop zetu kwa siku zote mbili @JustTherapies (GEORGE CHACHA), Mtaalamu wa maswala ya Afya ya Akili na Makamu wa Rais wa chama cha TAPA kuwa atafundisha--
MAMBO YA KUFANYA NA KUZINGATIA ILI KULINDA AFYA YA AKILI
Utapata nafasi ya kufanya majadiliano ya kina ili kuelewa zaidi.
#MonetizeYourTalent
#GrowYourCareer
Namtambulisha kwenu Trainer wetu wa Workshop zetu kwa siku zote mbili Mtaalam wetu @Millambo_
Mhadhiri wa Chuo KIKUU Cha Dar es Salaam founder wa Swahili Quest atafundisha--
NAMNA YA KUTENGENEZA CONTENTS ZITAKAZOWEZA KUUZA KIPAJI CHAKO AU CAREER YAKO.
Utapata nafasi ya kufanya majadiliano ya kina ili kuelewa zaidi.
#MonetizeYourTalent
#GrowYourCareer
And Last Namtambulisha kwenu Trainer wetu wa Workshop zetu kwa siku zote mbili @sajo_mwaihabi, MD wa EB DIGITAL TECH, Founder wa RECHARGE YOUR MINDSET movement. Ambaye pia ni BUSINESS CONSULTANT & MARKETING STRATEGIST. ambaye atafundisha--
NAMNA YA KUTAMBUA KIPAJI CHAKO NA KUKIPA THAMANI ILI KIWE AJIRA RASMI
Utapata nafasi ya kufanya majadiliano ya kina ili kuelewa zaidi.
#MonetizeYourTalent
#GrowYourCareer
Hellooooow.
Zimepita siku nyingi kutokana na changamoto za hapa na pale.
LEO TUNAFANIKISHA.
Ni kwa ajili ya kumuongezea Bibi mtaji wake kwa kile alichokua anahitaji. ASANTENI SANA WADAU, MUNGU AZIDI KUWABARIKI.
Imepatika 50,000/= Nitazidi wajulisha.