Matokeo ya Uchaguzi mdogo Jimbo la Muhambwe kwa Vituo 24 vya Kata ya Kibondo mjini yameshatoka na Mgombea wa CCM Ndugu Florence George Samizi anaongoza katika vituo vyote kama Ifuatavyo;
Kituo cha Jumba la Maendeleo.
Kituo no 5:
CCM= 61, ACT=36, DP=0
#UshindiwaKishindo#CCMjuu
Ndg. Alphonce p. Muyinga a.k.a @alphanga akimnadi mgombea ubunge jimbo la muhambwe kigoma Mh #FrolensSaminzi
"Maendeleo hayana chama lakini kipo chama kinacho leta maendeleo kwa watanzania ambacho ni @ccm_tanzania ata kigoma ya 2021 ni tofauti ya 1990 wana muhanbwe chagua ccm;