Mahakama ni butu, kwa sababu kwenye mahakama fulani baada ya muda wangesema hakuna kesi na hawa wako huru, -- Maalim Seif Sharif Hamad #JusticeForUamsho#ChangeTanzania
@Advocate_Jebra@MariaSTsehai Ukisimamia kile unacho kiamini hasa ktk kutetea haki na usawa ktk mifumo ya sasa utaonekana fala,,ila KUNA FAIDA KUBWA ,na watu huchelewa kuamini mambo